kibaa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 717
- 179
Yote uloandika yananihusu na mimi ila zaidi mimi ni mchoyo, bahili, sina rafiki, ila naheshimu kila mtu, sina maringo lakini ukiwa na shida mpaka nikusaidie labda unakaribia kufa, siendi kwenye sherehe za majirani hata za ndugu, ila msiba hata wa mtu nisiye mjua mtaani mpaka mtaa wa tano nashiriki kikamilifu, sinywi pombe sivuti fegi, sina mambo ya totoz nina mke mmoja tu