Yote uloandika yananihusu na mimi ila zaidi mimi ni mchoyo, bahili, sina rafiki, ila naheshimu kila mtu, sina maringo lakini ukiwa na shida mpaka nikusaidie labda unakaribia kufa, siendi kwenye sherehe za majirani hata za ndugu, ila msiba hata wa mtu nisiye mjua mtaani mpaka mtaa wa tano nashiriki kikamilifu, sinywi pombe sivuti fegi, sina mambo ya totoz nina mke mmoja tuImebidi nijiulize hili swali, hivi mtu mbinafsi yuko vipi? Je mimi ni mmoja wao?
Kwa mfano nikitaka kitu changu huwa sina compromise, when pursuing something huwa sijali wengine wanafikiri nini as long as I do not step on their feet, I can give up a relationship for it kama nikiona inaniwekea usiku, napokuwa na mipango yangu sitaki niingiliwe. Nikichukua msimamo ndio huo huo sibadiliki japo hujipa muda na fikra nyingi kabla ya kuchukua msimamo.
Huwa sipendi kuwategeme watu, na vile vile sipendi watu wanitegemee, I hate favours na gifts, mara nyingi I will turn them down ila na mimi I hardly give favours na gifts.
Mfano I was in a relationship, nilianza project moja ambayo ilikuwa inakula sana muda wangu na mwenzi wangu kwenye uhusiano akawa analalamika sana, kwa kweli sikuridi nyuma pamoja na malalamiko yake, ilikuwa sehemu ya kutimiza ndoto zangu. Upande wa pili yeye ndoto yake kubwa ilikuwa awe professional accountant, akawa anafanya ACCA, alipata chance ya kwenda kumalizia UK sasa akawa anasita sita, alikuwa anafikiria uhusiano wetu utakuwaje akiondoka, mimi nilimpa moyo nenda mama its your dream! Basi akaenda, kama miezi minne kule ananiarifu kampenda jamaa mwingine, well nikamwambia kama umempenda kweli na upo happy, nakubali matokeo japo nitakumisi sana. Your happiness should come first, pamoja na machungu yangu, part of me imeridhika kama tu utakuwa na furaha.
Ndio falisafa yangu, live and let live, don’t give up your happiness for anything, don’t give up your dreams for anything but do not step on other people’s feet!
Je mimi ni mbinafsi?
I just want to know japo sina mpango wa kubadilika.
Nilikutafuta kila kona sikuoniNimekugaya si ulinitenga ahhaha
Hahha hadi kwenye email sikuwa napatikana? Tafadhali bana, itakuwa ulikosea kusev namba yangu tehNilikutafuta kila kona sikuoni
Hata simu yako haipokelewi
Nikasema nikuache kwanza ile faragha ipite halafu nitakudaka tuu..
Tabia zako na zangu hazijapishana sanaaa Ila mm ni mtu mmoja msiri sana hadi uje ujue mambo yangu si Leo wala kesho na napenda sana kuishi maisha ya kawaida sana, Sipendi kujionesha kwa watu napenda sana kusaidia hasa watoto! campani yangu kubwa ni watoto wadogo, Mm siyo mwongeaji sanaaa nikibishana na mtu haichukui dk 5 kulia!! Sipendi marafiki rafiki yangu ni Yule nae fanya nae kazi kwa mda huo tu nikisha maliza sitaki hata nimuoneYote uloandika yananihusu na mimi ila zaidi mimi ni mchoyo, bahili, sina rafiki, ila naheshimu kila mtu, sina maringo lakini ukiwa na shida mpaka nikusaidie labda unakaribia kufa, siendi kwenye sherehe za majirani hata za ndugu, ila msiba hata wa mtu nisiye mjua mtaani mpaka mtaa wa tano nashiriki kikamilifu, sinywi pombe sivuti fegi, sina mambo ya totoz nina mke mmoja tu
Mkuu umenigusa sana!
Mimi sipendi kupewa favor ila tatizo nina huruma za kijinga sana natoa sana favor and that is the only weakness i always fight against.
Usiri kwangu imekuwa maisha, i have fb account imenilazimu kwa ajili ya kazi lakini you will never see my pics na wala its not under my real name, kwenye whatsap ambayo pia imenilazimu kwaajili ya kazi huwezi kuta pic yangu kwenye profile. In shot naishi low profile life, kuna watu ambao tunajuana nikikutana nao bahati mbaya mjini wanauliza upo mji huu kweli?Tabia zako na zangu hazijapishana sanaaa Ila mm ni mtu mmoja msiri sana hadi uje ujue mambo yangu si Leo wala kesho na napenda sana kuishi maisha ya kawaida sana, Sipendi kujionesha kwa watu napenda sana kusaidia hasa watoto! campani yangu kubwa ni watoto wadogo, Mm siyo mwongeaji sanaaa nikibishana na mtu haichukui dk 5 kulia!! Sipendi marafiki rafiki yangu ni Yule nae fanya nae kazi kwa mda huo tu nikisha maliza sitaki hata nimuone
Hahha hadi kwenye email sikuwa napatikana? Tafadhali bana, itakuwa ulikosea kusev namba yangu teh
Aaah tulienda kijijini na baeHahahah...email nlihisi utachelewa kuipata...
Halafu vyote ntasahau lakini sio ile namba yako niambie tu Jumapili ulikua wapi moyo wangu utulie...

Aaah tulienda kijijini na bae![]()
![]()
Teh subiri tu kideo![]()
![]()
Hahaha hope umeonyesha kiwango cha juu sana cha ufilipino
Haha itakua ya pili + na zile!Teh subiri tu kideo
BilioneaAiseee ukiendelea hivyo utakua mtu mkubwa sana mbeleni.
Hizi ni tabia za great people and great billionaires like me, keep it up
"Wewe sio mbinafsi ila labda kwenye Maisha wanakuhitaji watu usio wahitaji"Imebidi nijiulize hili swali, hivi mtu mbinafsi yuko vipi? Je mimi ni mmoja wao?