Hivi MIMBA na MTOTO nani mwenyewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi MIMBA na MTOTO nani mwenyewe?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kisoda2, Mar 26, 2010.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hodi kwenye hapa jamvini kwenu wana JF,naomba kupata jawabu kuhusu haya:-
  Mimba ni ya nani?
  Mtoto ni wa nani?
  Maswali haya yamekuja kutokana na mkanganyiko uliopo baina ya wanandoa/wapenzi pale hali hiyo inapojitokeza.
  Akiulizwa binti mimba ya nani atajibu ya fulani(Nguli - mfano)ama mtoto wa nani wa fulani(Field-mfano).Sasa hapa huyu binti hahusiki kabisa na hivi viwili ama?
   
 2. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  :D dogo unaonaje tukurudishe shule....:D
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Kosoda mada yako naisoma hata siielewi unataka nini kufahamishwa ..
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kisoda vp mnajuana nn hapo kwenye red!
   
 5. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kurudi shule ndo itasaidia nini?
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,282
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  nadhani ndiyo njia pekee ya kukusaidia
   
 7. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  kachomekea tuu huyu kutest zari!
   
 8. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Wewe ulipokua huko uliewa vipi?
  Na kama ni hivyo ulivyoelewa unatimiza yote hayo?
   
 9. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nafasi ya mwanamke/me katika hivi viwili.
  je mwanamke ni incubeta tu?
   
 10. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2010
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  :DSasa mbona kusikia shule tu!! Umeogopa, au ulikimbia kabla hujamaliza....:D
   
 11. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2010
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  :D dogo atanijua tu kama leo au kesho mana....mimi ndo fazaa...:D
   
 12. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nilisoma ili kupata cheti tuu kama wewe! ndo maana nauliza ati!
   
 13. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2010
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  :Ddogo mbona mimi sina cheti, cheti wanawapa wale wenye kupenda kujionyesha wamesoma...:D
   
 14. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  haaa haaaaaaaa,sasa mie shule nikafanze nini kama ndo hivyo?

  Lete jibu bana ndogo acha longo loooongo!
   
 15. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Duuh nimejikuta nikikugongea senksii kwa kuelewa, hiyo yenye red.ndo maana ukakimbilia kutaka unirudisha shule ukiwa umesahau nawe ni mmoja wao?
   
 16. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2010
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  :D Hahaha ok sasa turudi kwenye mada...

  Inawezekana mwanamke kusema vile kwa kuwa anajua bila mbegu za kiume yule mtoto asinge zaliwa ndo mana akasema mimba sio yake...yeye kaibeba tu...nadhani wanawake wako right...
   
 17. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2010
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yameisha dogo...wewe endelea kujisomesha tu kama mimi...
   
 18. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ok nimekusoma, ila inakuweje wao (wanawake) kujitoa?
  na kwanini wanaargue eti hatwendi nao clinic wao wakienda ili kujua mwendeleo wa hiyo mimba?
   
 19. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,913
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Mmh! Mada juu ya mada.
  Kisodaaa!!
   
 20. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimba anayo yeye utamuulizaje so nafkr swali anauliza aliesaidiana nae kutengeneza hiyo mimba maana lazima panatakiwa kuwa na mwenza ili mimba iwepo. na kwa mtoto pia anapouliza wa nani anamaana tayari anafahamu ni wahuyo binti ila baba ndie anataka kumfahamu
   
Loading...