Hivi MIMBA na MTOTO nani mwenyewe?

Hodi kwenye hapa jamvini kwenu wana JF,naomba kupata jawabu kuhusu haya:-
Mimba ni ya nani?
Mtoto ni wa nani?
Maswali haya yamekuja kutokana na mkanganyiko uliopo baina ya wanandoa/wapenzi pale hali hiyo inapojitokeza.
Akiulizwa binti mimba ya nani atajibu ya fulani(Nguli - mfano)ama mtoto wa nani wa fulani(Field-mfano).Sasa hapa huyu binti hahusiki kabisa na hivi viwili ama?
ingawa kiswahili cha swali lako hakijatulia kabisaaaa

ni vya wote baba na mama,na kwenda kliniki ni kazi ya wote wawili ili kujua maendeleo ya uhai ulio tumboni na kama kuna ishu yoyote ya kiafya au mfanye kitu fulani kwa afya ya kiumbe uyo ni wote mjue na mtekeleze sio mama alete reported speech--ambazo mara nyingi baba huja kukataa/kukimbia likitokea la kutokea kwa uhai huo ukizaliwa!!!pia kuepuka ile kasumba ya baba kuona mama kahamisha mapenzi kwa mtoto!
kupata taarifa za kitabibu ni MUHIMU/LAZIMA kwa wote tu
 
Hodi kwenye hapa jamvini kwenu wana JF,naomba kupata jawabu kuhusu haya:-
Mimba ni ya nani?
Mtoto ni wa nani?
Maswali haya yamekuja kutokana na mkanganyiko uliopo baina ya wanandoa/wapenzi pale hali hiyo inapojitokeza.
Akiulizwa binti mimba ya nani atajibu ya fulani(Nguli - mfano)ama mtoto wa nani wa fulani(Field-mfano).Sasa hapa huyu binti hahusiki kabisa na hivi viwili ama?

Ukiulizwa mimba ni ya nani, basi umtaje jina la mwanaume aliyetunga hiyo mimba. Lakini ukiulizwa mtoto ni wa nani, basi uwataje BABA na MAMA. Hivyo, mimba ni ya baba, na mtoto ni wa baba na mama..
 
Kisoda I think u just had a blonde moment, u will get over it soon... we all have ours!!!
 
Back
Top Bottom