Nakubaliana na wewe.Nafikiri huo ndio muungano wa ajabu kabisa.makabila zaidi ya Saba kuungana na Kuwa kitu kimoja.Kimsingi hakuna kabila la Wahaya.Wahaya ni muunganiko wa makabila mengi km ulivyoyataja. Swala la asili ya kila kabila km ulivyoyataja hilo linahitaji taaluma na tafiti, siyo kwa wepesi unaodhania.
Kila kundi lilokuwa na mfalme/ Omukakama lilikuwa ni kabila kamili. Bukoba kulikuwa na abakama wengi na hivyo kuwa na makabila mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni watani zangu wa jadi[emoji120] [emoji122] . Lakini ni wajuaji sana, mzuri ni aliyekufa [emoji23] [emoji23]kihaya kina lahaja nyingi ikitegemea jirani zao.Hata rafudhi Ni tofauti japo wanaelewana.Hata salamu zinatofautiana,Kuna
Osingire waitu
Wasbota waitu
Mushanage
Tatasbota
Taspota
Yodoki, sasa wewe unasema "Enganda" ambazo siyo kabila! au? sina uhakikaKimsingi hakuna kabila la Wahaya.Wahaya ni muunganiko wa makabila mengi km ulivyoyataja. Swala la asili ya kila kabila km ulivyoyataja hilo linahitaji taaluma na tafiti, siyo kwa wepesi unaodhania.
Kila kundi lilokuwa na mfalme/ Omukakama lilikuwa ni kabila kamili. Bukoba kulikuwa na abakama wengi na hivyo kuwa na makabila mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app