Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
77,080
Reaction score
165,194
Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.

Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.

Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya mwili naona vimekaza, juzi juzi hapa si nikajaribu kujirudisha ujanani nikasema aaah acha "niride" nirudi ujanani mie, nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu kama bendera nikamalizia tu ile style ipo kwenye katiba kifo cha nini sijui.... Baada ya hapo mwili uliuma, yani miguu magoti hoiii.

Sasa nmewaza mpango kazi hapa eti nianze tizi, nikipiga kichura chura moja mpaka mia nitarudi ujanani, nitaride kijeshi hii kitu itawork au niache ujinga???

Watu wazima waione kwenye jalada Binti wa zamani ERoni et al....

Nb: nahitaji zoezi specific za kunifanya niwe good kuride sio kwa afya wala mambo mengine, lengo ni moja tu.
 
Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.

Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.

Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya mwili naona vimekaza, juzi juzi hapa si nikajaribu kujirudisha ujanani nikasema aaah acha "niride" nirudi ujanani mie, nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu kama bendera nikamalizia tu ile style ipo kwenye katiba kifo cha nini sijui.... Baada ya hapo mwili uliuma, yani miguu magoti hoiii.

Sasa nmewaza mpango kazi hapa eti nianze tizi, nikipiga kichura chura moja mpaka mia nitarudi ujanani, nitaride kijeshi hii kitu itawork au niache ujinga???

Watu wazima waione kwenye jalada Binti wa zamani ERoni et al....
Mbona unatuangusha mwanakwetu na kuukalia ukuni 🍆 ilivyo tamu sasa 🤤😋 ukichoka we mlalie kifuani aichapie kwa chini, ila usishuke.

Na uanze kufanya squats basi!
 
Mazoezi unaanza taratibu mpaka mwili unazoea .

Mfano waweza anza kukimbia round moja katika uwanja wa mita 100 ukawa unaongeza taratibu kila siku .

Pia Kama upo 35, mazoezi ukianza usiache kwakuwa misuli ya MTU wa miaka 35 inakuwa imeshaanza kusinyaa , itapendeza ukianza mazoezi usiache moja kwa Moja.

Pia kuna aina ya mazoezi Ambayo yapo recommended , Kama kwa watu wa umri 35-55 kama kuruka kamba.,,n.k
 
Nikiruka kamba itapunguza mchoko wa magoti?
 
nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu
Navuta taswira ya mpandwaji, alikuwa na hali gani alipoona mtu anakata pumzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Nahisi mimi ningekufa kwa kicheko na mchezo ungeishia hapo hapo.

Hiyo kushuka taratibu sasa, nimecheka kama fala leo.
 
Back
Top Bottom