Hivi mapenzi yanakaaga wapi hapa?

Mapenzi ya dhati yanakaa hapo kwenye Pericardial space.....

Mapenzi ya uongo yanakaa hapo kwenye Sino atria node....

Uvumilivu unakaa hapo katikati kwenye right ventricle.......

Mapenzi ambayo mpenzi yupo mbali yanakaa hapo kwenye triscupid.......

Mapenzi ya mtu unayemchukia lakini unaishi nae tu kwa sababu ya pesa zake tu yanakaa kwenye Vena cava......
 
Mhh! Hii itakuwa ,A ya biology
 
mtani umechambua vyema
 
Baba mzigo upo kwenye Sino Atrial Node (PAN) a.k.a Pacemaker, asikudanganye mtu.
Linganisha nguvu ya mapenzi na SAN.
Zote zinashabiana.
 
Mapenzi yanakaa kooni (penzi ni kikohozi kulificha huliwezi).
 
umetisha sanaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…