Hivi mapenzi yamefikia huko kweli?

Hivi mapenzi yamefikia huko kweli?

sissytz

New Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
2
Reaction score
1
Wanajukwaa,
Nimekuwa nikisoma mada mbalimbali huku MMU imebidi niwaombe tuweke koma tuwaze kidogo; hivi ni kweli TZ imefikia huko? Kila siku vituko vya mapenzi: leo boss ananitaka, kesho mwenye nyumba anamtaka fulani, mara mtu kalala na mama na mtoto, mwingine kafumaniwa, wengine wakutwa gesti na mke wa mtu, mwingine kapiga nyeto, n.k, n.k, n.k. Sasa najiuliza, hebu tusemezane asema Bwana wa Majeshi; ni kweli akili ya wanadamu ipo chini ya kitovu tu au mengine kufurahisha tu jukwaa?. Kama ni kweli, muda wa maendeleo si umepungua sana? Je mtu akisafiri mbali bila mpenzi na muda mrefu kama wa miaka 3 labda sababu ya masomo, labda amefika nchi mademu au wanaume hawataki ngono na ngozi nyeusi (wabaguzi) si kuna kuchanganyikiwa kwa kukosa ngono?

Mi siamini! Ninyi mwaonaje!
 
Kwani wewe huwa hugegedani?
Kugegeda kupo lakini si kuna ustaarabu wake? Mambo ya mme wa mtu, mke wa mtu, kuharibu kazi sababu hiyo, kugombana na wenye nyumba, na mengine mengi yanayoharibu sifa na uzuri wa mtu yanatokana na nini? Pia kuna kuvuta simile mpaka muda ukiwa muafaka. Kuna kusubiri kwa ajili ya masomo, safari, ugonjwa, n.k. Au watu8 wewe waonaje? Kuna watu ameolewa/oa lakini bado yupo rodini asubuhi-jioni akisaka ngono.
 
Kugegeda kupo lakini si kuna ustaarabu wake? Mambo ya mme wa mtu, mke wa mtu, kuharibu kazi sababu hiyo, kugombana na wenye nyumba, na mengine mengi yanayoharibu sifa na uzuri wa mtu yanatokana na nini?

Tamaa ya mwili ni utumwa wa mawazo ya nafsi

sissytz said:
Pia kuna kuvuta simile mpaka muda ukiwa muafaka. Kuna kusubiri kwa ajili ya masomo, safari, ugonjwa, n.k. Au watu8 wewe waonaje?
Ha ha ha...ni watu wachache sana wenye uvumilivu huu.
Wengi wetu hata kama utajizuia kufanya lakini akili itawaza...sasa ukishindwa kuyashinda mawazo hayo mwisho wa siku lazima uishie kutenda...

sissytz said:
Kuna watu ameolewa/oa lakini bado yupo rodini asubuhi-jioni akisaka ngono.
Huyu wa namna hii ni mtumwa wa ngono.
 
Muda wa maendeleo ni wa maendeleo. Wa mapenzi ni wa mapenzi.
Ya kaisari mpe kaisari, la sivyo utadata mtumishi!
 
Wanajukwaa,
Nimekuwa nikisoma mada mbalimbali huku MMU imebidi niwaombe tuweke koma tuwaze kidogo; hivi ni kweli TZ imefikia huko? Kila siku vituko vya mapenzi: leo boss ananitaka, kesho mwenye nyumba anamtaka fulani, mara mtu kalala na mama na mtoto, mwingine kafumaniwa, wengine wakutwa gesti na mke wa mtu, mwingine kapiga nyeto, n.k, n.k, n.k. Sasa najiuliza, hebu tusemezane asema Bwana wa Majeshi

Sissytz hivi unadhani haya yanayotekea hapa Tz hayawatokei hao watu wenye ngozi nyeupe? Tena kwa taarifa yako huko kwa hao wenye ngozi nyeupe ndo kuna mambo makubwa kuliko huku kwetu.

Au unataka kuniambia kuna nchi ambayo maBoss hawawataki kimapenzi wafanyakazi wao? Au huko watu hawapigi Nyeto? Au utaniambia huko watu hawafumaniwi? Au huko watu hawakutwi na mke wa mtu guest?

Je, ni kweli akili ya wanadamu ipo chini ya kitovu tu au mengine kufurahisha tu jukwaa?. Kama ni kweli, muda wa maendeleo si umepungua sana?

Kuna usemi usemao "kichwa cha chini kikisimama hukifanya kichwa cha juu kuwehuka na kujitoa fahamu" hii hupelekea akili yote na nguvu zote za kufikiria kuhamia kwenye kichwa cha chini. Ila baada ya tukio kumalizika ndipo akili na maamuzi hurudi kwenye kichwa cha juu.

Je mtu akisafiri mbali bila mpenzi na muda mrefu kama wa miaka 3 labda sababu ya masomo, labda amefika nchi mademu au wanaume hawataki ngono na ngozi nyeusi (wabaguzi) si kuna kuchanganyikiwa kwa kukosa ngono?

Mi siamini! Ninyi mwaonaje!
Chamsingi ni watu kubadilika kitabia ila mimi siamini kabisa yakwamba watu wenye ngozi nyeusi tu ndo huwa na tabia ya kupenda ngono.
 

yana run dunia
kila kukicha yanaibuka
mapya kwny secta ya mapenzi!!
 
Mm nadhani sbb hili ni jukwaa la mahusiano,mapenzi na urafiki lazima ukutane na kesi zote zinazohusiana na mahusiano,mapenzi na urafiki iwe ni za kweli ama uongo sbb zipo jukwaa sahihi,kuhusu maendeleo yana jukwaa sahihi na kumbuka tu kny maendeleo yoyote yawe ya kikaz au biashara ama hata siasa hata kidini lazima kuna mahusiano na urafiki ili viendelee kusonga mbele, sasa hapo kny mahusiano na urafiki ndipo linapozaliwa swala la mapenzi,kwahiyo mapenzi ni daily routine hayaepukiki kinachotakiwa ni kuchukua tahadhar ili yasilete matokeo hasi,ww hushangai mbona ktk nyumba za ibada ambako Mungu yupo lkn kesi za mapenz zimekuwa nyingi?mapenz yapo kila mahali kazin,biasharan,kanisan,mskitini,shulen,gerezan,hospitalin na hata kny vita mapenz yapo ndo hayo tunayosikia mara wanajesh wamebaka wanawake n.k.
 
Sio muda wote ni wa mapenzi....
yani hapa jf ni kama kazini kuna specialization and division of labour
kuna wengine tupo mapenzini, wengine wapo siasani, wengine chit chat n.k n.k
 
Back
Top Bottom