min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,424
- 164,228
😅 wapo majamaa spesheli kwa hiyo kazi humu shindii, sio mimi kabisa.Shindii usijitoe ufahamu kabisaaa🤣
😅 wapo majamaa spesheli kwa hiyo kazi humu shindii, sio mimi kabisa.Shindii usijitoe ufahamu kabisaaa🤣
Kabisa bro mapenzi yashafutwa hayapo 😀pole umechelewa, yalishafutwa na bro Evelyn Salt
Sio kweli shindii😅 wapo majamaa spesheli kwa hiyo kazi humu shindii, sio mimi kabisa.
mapenzi yatakuharibiaje maisha?Achana na mapenzi yatakuharibia maisha
Yatamchanganyamapenzi yatakuharibiaje maisha?
akiyachukulia negative yatamchaganya ila akiyachukulia positive yanampa nguvu ya kupambanaYatamchanganya