Miaka 30 niliyonayo nao sijawai tongoza wala kuwa na demu.nafurahia hivi maana hata nikifa najua sitaacha kizazi kiteseke nyuma. Uvulana wangu niwa kutafta hela sio kuzini.hamna masta kama mimi.
Nimerudi kuperuzi JF baada ya taktibani mwaka na nusu nakutana na huu usenge...mtoto wa kiume unajisifiaje ujinga!? Hutaki kutongoza, unasubiri utongozwe na wanaume wenzako?
CHadeMa inaharibu sana watoto wa kiume! Habari zao kimange Mange na Kidangwa dangwa!
Miaka 30 niliyonayo nao sijawai tongoza wala kuwa na demu.nafurahia hivi maana hata nikifa najua sitaacha kizazi kiteseke nyuma. Uvulana wangu niwa kutafta hela sio kuzini.hamna masta kama mimi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.