juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,475
Habari za siku nyingi wana MMU?
Nisipoteze muda nije kwenye mada kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana, namfahamu kama miaka minne iliyopita lakini sikuwahi kumtongoza na wala hatukuwa na mazoea wala salamu.
Baada ya miaka miwili nikaamua nianze kumpa salamu akipita maeneo yangu au tukionana njiani.nilitaka kwanza anizoee ili siku nikitupa nyavu nisiwe ni mtu mgenikwake.akawa anaitikia salamu vizuri bila wasiwasi .sasa baadae nikashangaa ghafla hataki salamu yangu na nikimsimamisha hataki hata kusimama.
Na mimi sikukata tamaa kumsalimia na kumsimamisha.mwaka huu nikaongeza bidii ya kumuomba anisikilize shida yangu.ndipo kuna siku akasimama akanipa namba yake ya simu.tukaanza mawasiliano katika simu lakini akanichomolea. Baadaye aliponizoea akaniambia jambo ambalo limeniduwaza sana,akaniambia alinipenda sana kuanzia siku ya kwanza aliponiona na alikuwa anatamani nimwite nimtongoze ila mimi sikuwa na time nae wala mazoea naye.
Akaniambia aliponizoea kuniona mapenzi kwangu yakafa akawa hanipendi wala havutiwi tena na mimi.ananiambia kwa sasa ananiona wa kawaida tu so hana feelings na mimi kabisa.sasa nijiuliza je mapenzi huwa nayo yanaexpire kiasi kwamba inawezekana ukawa unamuona mtu ni mzuri ila after a few days ukaanza kumuona ni wa kawaida tuu?