kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,115
Huyu jamaa ni nani? Nimesikia anatajwa tajwa sana.
Moja ya msanii alie mtaja ni Joh Makini kwenye ngoma ya Waya..
Naombeni wataalam wa mambo mnijuze sifa za huyu Mandingo wa ndingo
Ni nani hasa? Na kwanini jina lake linazidi kupaa sana?