Hivi Malezi yamenishinda?

Hivi Malezi yamenishinda?

kuchapa au kumpiga mtoto siyo njia pekee ya kufundisha mtoto au kumpa adhabu....kwanza ina mfanya mtoto asijiamini ,akuogope badala ya kukuheshimu n.k.
lakini pia wote tumeshashuhudia watoto waliochapwa sana lkn bado hawakufika mbali na tabia zao.
pole sana ,mueleweshe baba yake kiutaratibu sana ,miaka 4 ni umri mdogo sana kwakweli kupigwa kibao.

ki uhalisia nyie akina mam huwa mnawadekeza watoto mimi mwenyewe nimetoka kukatandka ka kwangu muda si mrefu hapa lakini ni baada ya kukakanya mara tatu,kutoa adhabukwa mtoto sio dhambi

Pole Condoleza malezi magumu sana ila mwenyezi Mungu huwa anabalance! kwa baba na mama lazima mmoja awe strict zaidi! navinasaidia ila asizidishe!

Nasikia siku hizi wanafundishwa
a-for atm
b -for blackberry
c-for condomu
d- for dushelele
utawaweza wapi watoto hao
piga ngwara kabisa

asanteni sana ...ila ngoja nitafute namna muzehe aje kusoma hii post ...
 
Smile nadhani kuna makosa ambayo baba yake anaweza kumchapa..kweli la kumwaga maji mezani ama sahani ya chakula imedondoka ndo unamchapa kibao utadhani mtu mzima ..

baba ana asili ya wapi? Naamini anakereka na vitendo vya mtoto hapangi kumpiga ila involuntarily anakuta kanyanyua mkono kashampiga hata yeye anaumia kumuona mtoto analia ila ndo hivo tena atafanyaje?
 
kuchapa au kumpiga mtoto siyo njia pekee ya kufundisha mtoto au kumpa adhabu....kwanza ina mfanya mtoto asijiamini ,akuogope badala ya kukuheshimu n.k.
lakini pia wote tumeshashuhudia watoto waliochapwa sana lkn bado hawakufika mbali na tabia zao.
pole sana ,mueleweshe baba yake kiutaratibu sana ,miaka 4 ni umri mdogo sana kwakweli kupigwa kibao.

ki uhalisia nyie akina mam huwa mnawadekeza watoto mimi mwenyewe nimetoka kukatandka ka kwangu muda si mrefu hapa lakini ni baada ya kukakanya mara tatu,kutoa adhabukwa mtoto sio dhambi

Pole Condoleza malezi magumu sana ila mwenyezi Mungu huwa anabalance! kwa baba na mama lazima mmoja awe strict zaidi! navinasaidia ila asizidishe!

Pole sana baba yake ni Afande nini?
hatakiwi kuwa mkali sana kwa mtoto kuna stage ambazo mtoto anapitia hizo za kulisha midoli na kusambaza vitambaa ni mambo madogo kwa mtoto katika ukuaji
Saidianeni kumfundisha na sio kamwaga maji kibao cha kushitukiza ..Mwisho mtamkomaza mtoto na viboko.

wala sio afande FL1 basi tu huyu baba watoto natamani kummeza
 
Wadau msaada wa malezi ..
Nina kabinti kangu kana miaka 4...naamini nimekuwa nakalea katika mienendo mizuri anapokosea namfundisha na kumwambia ukifanya hivi si vizuri mama baba pia mungu hapendi ..kwani shuleni kwenu mnafundishwa kukosea katasema sorry mamy
Kesho kanaweza kurudia kosa lile lile bado naendelea kumfundisha kwa upole nikiamini 4 years bado mdogo sana anahitaji mapenzi na muongozo..
Kimbembe kiko kwa baba yake..kama mjuavyo mtoto anaweza kuwa anakula mara kashika hiki mara kamwaga maji..mara anakula anataka amlishe na mdoli wake..
Baba yake unaweza kushangaa anakapa kibao tulia nimesema sitaki utundu au anakafokea kwa ukali sana jamani..
Jana kalikuwa kanacheza kanarukia huko mara kametoa vitambaa mezani baba yake akamchapa vibao nikiwa zangu jikoni .....mtoto alilia weee ananiambia mama dad mbaya kwanini ananipiga piga kila saa mie si mtoto eti mama? ,Masaa yakapita mtoto akanyamaza nikawa nimemtuma kwa baba yake chumbani kagoma kwenda kwa dady yake anasema mie siendi namuogopa dady mkali sana huku analia namwambia nenda kagoma...
Leo asubuhi namtuma tena kwa dad anasema no mamy dad atanichapa

Nikimzuia dad na kumwambia amfundishe kwa upole ananiambia namdekeza mtoto.

Roho unaniuma jamani ..ni mie ndo nakosea kumlea huyu binti??

Wala hukosei mamii..:unachofanya ni sahihi kabisa kama mama wa mtoto...kwa upande wa baba yake inategemea sana pia malezi aliyoyapata wakati mdogo..inawezekana alikuzwa kwa style hiyo na wazazi wake hivyo inakuwa ngumu kwake kuelewa lugha nyingine zaidi ya hiyo ya kiafandeafande...hata mm sometimes niilikuw hivyo na wanangu, ilibidi niifanyie kazi ya ziada hsdi hiyo habit ikaisha taratibu na sasa ni nadra sana kumchapa mtoto kwa vitu ambavyo havina msingi...ni vzr ukawa unaongea naye na kumwelewesha...ukifika wakati atakuelewa tu...pole sana
 
Kwa uzoefu wangu mdogo nadhani adhabu kwa mtoto inasaidia sana kumuweka sawa; isipokuwa iendane na umri wa mtoto. Kwa mtoto wa miaka minne anafaa kabisa kuanza kuonjeshwa bakora.
Condoleza, kama unaona baba anatumia nguvu nyingi zaidi kumuonya mtoto ni vizuri kuongea nae pasi mtoto kusikia au kujua kuwa wewe ni mtetezi wake, kwa kufanya hivyo kunaweza kuchangia mtoto kutokujirekebisha, akiamini kuwa hajakosa isipokuwa ameonewa tu na lidadi.
 
........Mtoto wa miaka 4 bado mdogo kwa kuchapwa vibao, japo inabidi apewe maonyo na kuelewesha.
Akifanya kosa na ukiona baba yake kampiga, wewe mama inabidi umwambie sababu ya kuchapwa na baba.

Mwambie umefanya kosa ndio maaana baba kakuchapa, na wewe inabidi uonekane kama umechukia kwa kosa alilofanya.
Na umwambie baba anakupenda hataki ufanye kosa ulilofanya.Hii itamsaidia mtoto kuelewa.

Ila kama akichapwa na wewe ukiwa unamtetea mtoto, asijue kwa nini amechapwa......hiyo itasababisha mtoto kumchukia baba, ambacho ni kitu kibaya.
 
mtoto wa miaka minne ana akili ya kuanza kujua kizuri na kibaya. inaelekea wewe mama unakadekeza sana katoto vile ka first born, ndio maana baba ameshtuka hilo anaona bora aanza kuonyesha makali. upendo ukizidi kwa mtoto ni kumharibu. akifanya kitu kibaya kidogo mtoto wa miaka minne ukampiga mara mbili harudii tena. jaribu na wewe kua mkali kidogo mtoto akue kwenye mazingira yanayokubalika. ikiwa anaelewa ukimweleza kitu kibaya, kwanini arudie tena, chapa fimbo.
 
umeongea vema kwenye malezi na kumuonya mtoto lazima wazazi mkae upande mmoja kuepusha matabaka na chuki ndani ya nyumba,mengine ya kurekebisha na makosa kama wazazi mnajadiliana badae mahali ambapo watoto hawasikii wala hawaoni tofauti zenu kwenye makuzi yao.
........Mtoto wa miaka 4 bado mdogo kwa kuchapwa vibao, japo inabidi apewe maonyo na kuelewesha.
Akifanya kosa na ukiona baba yake kampiga, wewe mama inabidi umwambie sababu ya kuchapwa na baba.

Mwambie umefanya kosa ndio maaana baba kakuchapa, na wewe inabidi uonekane kama umechukia kwa kosa alilofanya.
Na umwambie baba anakupenda hataki ufanye kosa ulilofanya.Hii itamsaidia mtoto kuelewa.

Ila kama akichapwa na wewe ukiwa unamtetea mtoto, asijue kwa nini amechapwa......hiyo itasababisha mtoto kumchukia baba, ambacho ni kitu kibaya.
 
Nasikia siku hizi wanafundishwa
a-for atm
b -for blackberry
c-for condomu
d- for dushelele
utawaweza wapi watoto hao
piga ngwara kabisa

e-for Egoli
f-for Facebook
 
Ukali wa kupiltiliza hivyo hautakua msaada kwa motto
Ni Kweli Mtoto kiboko na mkate ni haki yake LAKINI ukiwa unaweka wazi kwa nini unamchapa, ili aelewe na si ukali wa mpaka unaogopwa
 
Back
Top Bottom