Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 61,620
- 74,459
E Fm Ndiyo Waliopata Tender Kufunga Majukwaa Yote Ya Mgombea Nafasi Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kwa Tiketi Ya Chama Dola
Tangu Uzinduzi Wa Campaign Ccm Dodoma, Wao Hufunga Kila Kitu, Baada Ya Kuwashinda Clouds Fm Kwenye Kutafuta Kazi Hiyo. ATAKAPO Hutubia ,Mgombea Hasa Hasa Kwa Muda Mrefu Sana Utakuta Kazi Hiyo Imefanywa Na E Fm