Hivi majukwaa ya CCM ni nani wanayaandaa?

Narmy

Member
Joined
Apr 2, 2018
Posts
35
Reaction score
37
Ni swali ninalojiuliza sana, maana inaonekana wanaofunga stage hIzo ni wataalamu wa matamasha ya kufuatana mfano leo nImeona Mbeya mjini na Vwawa stage kote za maana. Je, ni nani wapo nyuma ya hili maana naona wanafanya kwa mafanikio makubwa.

Je, ni prime time wa mawingu (clouds) au wale wa maisha club (e-fm?) Au nje ya hapo ABE pro sound labda, majibu nasubiri.
 
Ni swali ninalojiuliza sana, maana inaonekana wanaofunga stage hzo ni wataalamu wa matamasha ya kufuatana mfano leo nmeona Mbeya mjini na Vwawa stage kote za maana je ni nani wapo nyuma ya hili maana naona wanafanya kwa mafanikio makubwa

Je ni prime time wa mawingu (clouds) au wale wa maisha club (e-fm?) Au nje ya hapo ABE pro sound labda...... Majibu nasubili
Vwawa hyo
255752268148_status_7e49aae9107743da8992f78e79f20796.jpg
 
Kama Kuna MTU Alikudanganya Akakwambia Chadema Imekufa, Nikuambie Sasa Mimi Nimeshuhudia Chadema Iko Mioyoni Mwa Watu, Aseee.

Kwa taarifa yake huyo mpuuzi aliyetoa kauli hiyo ya kidwanzi, ataanza kufa yeye na Chadema ataiacha ikizidi kustawi.
 
Ni swali ninalojiuliza sana, maana inaonekana wanaofunga stage hIzo ni wataalamu wa matamasha ya kufuatana mfano leo nImeona Mbeya mjini na Vwawa stage kote za maana. Je, ni nani wapo nyuma ya hili maana naona wanafanya kwa mafanikio makubwa.

Je, ni prime time wa mawingu (clouds) au wale wa maisha club (e-fm?) Au nje ya hapo ABE pro sound labda, majibu nasubiri.
CCM ni chama makini siyo ile saccos ya Faru John!
 
Ni swali ninalojiuliza sana, maana inaonekana wanaofunga stage hIzo ni wataalamu wa matamasha ya kufuatana mfano leo nImeona Mbeya mjini na Vwawa stage kote za maana. Je, ni nani wapo nyuma ya hili maana naona wanafanya kwa mafanikio makubwa.

Je, ni prime time wa mawingu (clouds) au wale wa maisha club (e-fm?) Au nje ya hapo ABE pro sound labda, majibu nasubiri.
Weka picha, habari bila picha nisawa na muwa bila sukari
 
Ni swali ninalojiuliza sana, maana inaonekana wanaofunga stage hIzo ni wataalamu wa matamasha ya kufuatana mfano leo nImeona Mbeya mjini na Vwawa stage kote za maana. Je, ni nani wapo nyuma ya hili maana naona wanafanya kwa mafanikio makubwa.

Je, ni prime time wa mawingu (clouds) au wale wa maisha club (e-fm?) Au nje ya hapo ABE pro sound labda, majibu nasubiri.
Hapo ni sawa na baba anapigilia masuti, na mabuti ya jeje, ili hali watoto wanenda shule na kaputa viraka vinaulizana umekuja lini!!

Haya, kaa ukitegemea wapiga kura watapigia kura kwa sababu stage zimependeza!!!
 
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
 
Back
Top Bottom