Hivi maji ya Dodoma yana peroxide?

DOCTOR UZI

Member
Apr 28, 2020
99
79
Za muda huu wakuu wa mambo

Moja kwa moja kwenye mada, tokea nije Dodoma sio nguo sio ngozi lazima vibadilike ila nikirudi DSM hali inakuwa nzuri mno

Nguo - ukiifua zaidi ya mara 5 kama ni nyeusi mpauko utakao uona huwezi kuitamani hiyo nguo na rangi nyingine ni nafuu ila nyeusi ndio mwisho inakuwa kama ina mba (ugonjwa wa ngozi).

Ngozi - mapele yanakutoka na siku nyingine ukiamka unaamka na vinundu baada ya siku chache vinakauka , pia swala la ngozi kubauka ni swafi sana na kawaida sana.

Sijui kwa wengine ila kwangu imekuwa hivo.

NB. Peroxide ni breaching agent, kwa wale wa penzi wa series turudi nyuma kidogo enzi hizo season one prison break pale Michael Scofield anapo jipeleka fox river kumtoa kaka yake Lincoln sasa katika strategy zake itatokea njia ya kutolokea walibadilisha pipe system kwahyo ilibidi wapitie kwenye psych ward(wodi ya vichaa) na magandwa yao yalikuwa meupe na kina scofield walikuwa wanavaa nguo za blue ndio hapo idea inakuja atatumwa flanklin (c-note) kwenda kuiba peroxide ili wazi breach zili nguo zao za blue ziwe nyeupe.

Nimalize kwa shukrani.
 
Hapo Ndiyo Dodoma Maji Yanatoka Mzakwe Kwenye Visima Vya Kuchimba. Kuanzia Nguo Kuoga Ni Changamoto

Ukiogea Ngozi Unazeeka Haraka Uliyosema Ni Kweli Tupu

Mkoa Ambao Una Ujanjaujanja Tu Wa Wanasiasa Una Shida Hizo
Yaani Asubuhi Mchana Jioni Sura Zimepauka, Maji Hayo

Nguo Ndiyo Usiseme!!!!!
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€๐Ÿ˜…๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
JIJI KUU LA NCHI YA UCHUMI WA KATI.
 
Halafu maji ya huko Dodoma kuna tetesi yanasababisha uoni hafifu kumbe ndio maana Jiwe huwa anaenda kuwaapisha akina Ndugulile halafu baadae anarudi magogoni

Ila Jiwe muhuni kwelikweli sijui msubi wa wapi
ASANTE KWA KUNIJUZA
 
Maji ya chumvi sana.ndiyo maana yanasababisha nguo na ngozi kuharibika, sabini kutokutoa povu n.k..kwa wale wanaoosha magari kila siku lazima bodi ioze baada ya muda fulani.
Kinachotakiwa kufanyika Ni kuyafanyia hayo maji filtration(RO ) ili kuondoka chumvi kwenye maji before matumizi.
 
Za muda huu wakuu wa mambo

Moja kwa moja kwenye mada, tokea nije Dodoma sio nguo sio ngozi lazima vibadilike ila nikirudi DSM hali inakuwa nzuri mno

Nguo - ukiifua zaidi ya mara 5 kama ni nyeusi mpauko utakao uona huwezi kuitamani hiyo nguo na rangi nyingine ni nafuu ila nyeusi ndio mwisho inakuwa kama ina mba (ugonjwa wa ngozi).

Ngozi - mapele yanakutoka na siku nyingine ukiamka unaamka na vinundu baada ya siku chache vinakauka , pia swala la ngozi kubauka ni swafi sana na kawaida sana.

Sijui kwa wengine ila kwangu imekuwa hivo.

NB. Peroxide ni breaching agent, kwa wale wa penzi wa series turudi nyuma kidogo enzi hizo season one prison break pale Michael Scofield anapo jipeleka fox river kumtoa kaka yake Lincoln sasa katika strategy zake itatokea njia ya kutolokea walibadilisha pipe system kwahyo ilibidi wapitie kwenye psych ward(wodi ya vichaa) na magandwa yao yalikuwa meupe na kina scofield walikuwa wanavaa nguo za blue ndio hapo idea inakuja atatumwa flanklin (c-note) kwenda kuiba peroxide ili wazi breach zili nguo zao za blue ziwe nyeupe.

Nimalize kwa shukrani.

Utafiti mdogo japo hata mimi sijaweza kupata data kamili,dodoma ina asilimia fulani ya madini ya uranium ambayo yapo mbali na hatuitaji kuchokoza na baazi ya visababishi vya uraniumi moja upofu na hili la ukoma asilimia kubwa ni dodoma labda kitaalamu tuchunguze kuna nini pale kwa nini idadi ya watu wanao pata haya utokea kule japo kutakuwa na sababu zengine
 
Back
Top Bottom