DOCTOR UZI
Member
- Apr 28, 2020
- 99
- 79
Za muda huu wakuu wa mambo
Moja kwa moja kwenye mada, tokea nije Dodoma sio nguo sio ngozi lazima vibadilike ila nikirudi DSM hali inakuwa nzuri mno
Nguo - ukiifua zaidi ya mara 5 kama ni nyeusi mpauko utakao uona huwezi kuitamani hiyo nguo na rangi nyingine ni nafuu ila nyeusi ndio mwisho inakuwa kama ina mba (ugonjwa wa ngozi).
Ngozi - mapele yanakutoka na siku nyingine ukiamka unaamka na vinundu baada ya siku chache vinakauka , pia swala la ngozi kubauka ni swafi sana na kawaida sana.
Sijui kwa wengine ila kwangu imekuwa hivo.
NB. Peroxide ni breaching agent, kwa wale wa penzi wa series turudi nyuma kidogo enzi hizo season one prison break pale Michael Scofield anapo jipeleka fox river kumtoa kaka yake Lincoln sasa katika strategy zake itatokea njia ya kutolokea walibadilisha pipe system kwahyo ilibidi wapitie kwenye psych ward(wodi ya vichaa) na magandwa yao yalikuwa meupe na kina scofield walikuwa wanavaa nguo za blue ndio hapo idea inakuja atatumwa flanklin (c-note) kwenda kuiba peroxide ili wazi breach zili nguo zao za blue ziwe nyeupe.
Nimalize kwa shukrani.