MartinCoder
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 700
- 630
SwadaktaSANDA ni nguo mfano wa shuka anayo vishwa maiti kabla ya kuzikwa na kuzikwa nayo na huwa zinakuwa 3. Kwani mtume pia alivishwa SANDA TATU.
SANDA iwe nyeupe lkn ikiwa haikupatikana ya rangi nyeupe basi itaruhusiwa ya rangi nyingine. Mtume kasema: Pendeleeni kuvaa mavazi meupe kwani hayo ni katika mavazi bora kwenu na muwavishe maiti wenu kwa hizo sanda).
Mafundisho yanatutaka tuwavishe maiti SANDA na wala sio SUTI au nguo nyinginezo.
Huo ni utaratibu wa UISLAM