Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,992
- 5,456
Na wale wanaume wapenda pesa za wanawake unawasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizubaa lazima utembezewe za uso ..wanawake wengi wamekuwa after money zaidi...na hata ukiwapa usitegemee kupendwa heli mtu akujie mapema kama huna huna ila aamue mwenyewe ...poleni kaka zangu ..ndio sasa hiv bila kiingilio mambo hayanogi kbs
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app