Ni muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na Typhoid,vidonda vya tumbo pamoja na huu unaoitwa eti U.T.I.Nimetumia dawa mbalimbali lakini wapi.Kila nikipima lazima magonjwa mawili kati ya hayo lazima yaonekane!Sasa nimechanganyikiwa!
Nimekuwa mdhaifu mno na hata nilipomwambia Dokta kuwa ninahisi maumivu makali ya mwili wakati mwingine ninapofanya tendo la ndoa!Dokta alinijibu kwa dharau kuwa sasa ulitegemea nini baada ya ngono lazima uhisi maumivu kwani nayo ni kazi!!!Wadau naaombeni ushauri kama unajua dawa zilizowahi kukutibu tusaidiane ingawa nimeshatumia dawa nyingi sana!!!!