Kaja kukurarua tu na kukuzeesha ilazimishe akili yako kutulia na mista wako
Ukiendekeza nyege mshindo utasanda sana
Nichekeke kimunalove mimiAnasema eti wanapendana na ni first wake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...unaweza kuwa unampenda,..ila tayari umeshamuona ni boya.Heeh yashakuwa hayo?
Nisingempenda wala nisingekuja huku kupata msaada
Mawazo yako tuNyuzi kama hizi wanaandikaga wanaume kuweni makini
Mkuu Hapa Nikianza Kuandika CV sitomalizaMkuu una experience kubwa sana, miaka 25 ni umri wa mtu. Hebu tupe Cv yako katika hili mkuu [emoji23]
...yeah huyu mwanamke ni cheap hasa,..halafu kamkuta mwanaume boys...basi maisha yao yatakuwa vururuvururuSasa naelewa kwanini wazungu waliwaita waafrika"CHEAP LABOURS"
you are very cheap
Jamen waliniwekea mtegoNaomba jamaa yako auonapo ujumbe huu atimue mbio speed 360 cz humfai kabisa, mwanamke asie na msimamo ni balaa and umeonyesha hilo, na hao marafiki zako na wewe kiujumla kudadadeki sijui niwagroup wapi, umefeli sana mkuu usipoangalia utakuja kukumbia msemo wa USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO .
Aya sasa hyo juu intro ushauri ndo huu, ogopa mwanaume anaejiproud tena mbele zako kuwa wengine wa kupita tu atakupa tabu sana, be serious with your love life, know what you want and see if you have it or not, kaa mbali na ex wako this is coming from a man whose done that and thats me Mr. KAABAD
Hahaha basi nisamehe...unaweza kuwa unampenda,..ila tayari umeshamuona ni boya.
...wanaume kauzu wa aina yangu mara nyingi ni ngumu sana kufanyiwa kama ulivyofanya
Hahahah umekasirika kama muhusika...yeah huyu mwanamke ni cheap hasa,..halafu kamkuta mwanaume boys...basi maisha yao yatakuwa vururuvururu
Kama umeelewa ni vizuri mkuu ila narudia kaa mbali na huyo X na mivyeo yake, hakufai tuliza akili na jamaa uliyenayeJamen waliniwekea mtego
Ok nimeelewa
Acha ujinga wewe .We unadhani Watu wetu wakisoma hapa Si watajua wadada wote tuna akili mbuzi kama zako.Sijachanganya
Waliniset up tu
Wanawake bhana eti kapata mavyeo.Akili sisimizi wanaume tuna tabu. Namhurumia huyo jamaa yako.No si nyege mshindo
Halafu yuko njema sana,kapata mavyeo kama yote
Na hataki kujificha
Sijui namkwepaje
...ulichofanya sio sawa kabisa,Hahahah umekasirika kama muhusika
Kawaida sana
Hawezi niacha sana sana ataanza kumuwinda huyo ex tuNyambafuuuu! Olewa naye ila huyo x wako ataendelea kujipigia tu, natamani nimfahamu huyo jamaa ambaye yupo series na ww nimwambie juu ya hili! Achague moja kusuka au anyoe!
Poa yameishaAcha ujinga wewe .We unadhani Watu wetu wakisoma hapa Si watajua wadada wote tuna akili mbuzi kama zako.
Acha kutuharibia wenzako .Unafanya kitu kibaya sana. We ni MTU mzima unajifanya hujui baya ufanyalo. Inaumiza sana