Hivi maex huwa wanaachana?

Unafukua makaburi...pengine alikasirika akajibu hivyo...je kama amebadilika hayupo hivyo sasa...

Yaishe...turudi kwa mada
Yaishe ila akinamama hamjui kutumia vyema mitandao! Tusimlaumu muna love
 
Yani apo ushauri wangu ni wewe chagua... kama una future baki na ulie nae... lakin kama bado ujana una sumbua ebu kula pesa za ex... maana ame rudi kukufumua alafu akuache tena
 
Thanks shukran for your insight
 
Mkuu una experience kubwa sana, miaka 25 ni umri wa mtu. Hebu tupe Cv yako katika hili mkuu [emoji23]
 
Asemaje wakati namkwepa?
Namwogopa mwanaume wangu yes na nampenda,sitak ajue yaliyojiri
Najua maamuz yake
Ex naye anataka ajulikane
Pesa zimempa kiburi


Ahaa hapo Nimekuelewa....

sasa kumbe wewe ndo unawachanganya????? it's too bad my dear.... kama upo serious chagua mmoja tu


Cc Smart911
 
Nyuzi kama hizi wanaandikaga wanaume kuweni makini
 
Kaja kukurarua tu na kukuzeesha ilazimishe akili yako kutulia na mista wako

Ukiendekeza nyege mshindo utasanda sana
Yaani kama Ulikuwa na mpenzi mkaachana au akakuacha kamwe usimrudie. Kuwa Na akili yako .Anza upya .usiangalie nyuma.Kaja kukuumiza zaidi.Kimbiaa mbio.Hao ndo waharibifu tu wa akina Dada .Kama huyo anaharibikiwa bila kujijua maskini apoteze mchumba wa kweli
 
Anasema eti wanapendana na ni first wake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…