Like dissolves LikePolar Dissolves Polar
Hii hali imewahi kukukuta kipindi upo na bonge la bwana ?Kama hauko kwa mahusiano Shetani wala hana Muda na wewe, ingia kwenye mahusiano sasa yaani yatajitokeza mapepo ya aina zote ili mradi tu uharibikiwe ulipo
Ndio asee, mashetani, mapepo, woteeee wanajitokeza kwa wakati mmojaHii hali imewahi kukukuta kipindi upo na bonge la bwana ?
Pole sana. Ndio maisha jinsi yalivyoNdio asee, mashetani, mapepo, woteeee wanajitokeza kwa wakati mmoja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaan kunadem kaja kwangu ka wiki mbili nikamrudisha kwao aisee sasa nakutana na dem mwingne sehem ananomba namba mwenye tena ni mfanyakazi mwenzang alafu ananiambia anataka aje kwangu, hii sinilawama hii?Ndio asee, mashetani, mapepo, woteeee wanajitokeza kwa wakati mmoja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaan kunadem kaja kwangu ka wiki mbili nikamrudisha kwao aisee sasa nakutana na dem mwingne sehem ananomba namba mwenye tena ni mfanyakazi mwenzang alafu ananiambia anataka aje kwangu, hii sinilawama hii?