Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 15,096 Reaction score 8,906 Oct 26, 2020 #161 chabusalu said: Kwahiyo JPM ndiye aliyeaombea? Click to expand... JPM katuondolea hiyo hofu maana ndiyo kilichokuwa kinatusumbua.
chabusalu said: Kwahiyo JPM ndiye aliyeaombea? Click to expand... JPM katuondolea hiyo hofu maana ndiyo kilichokuwa kinatusumbua.
C chabusalu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 8,084 Reaction score 5,213 Oct 26, 2020 #162 Tz mbongo said: JPM katuondolea hiyo hofu maana ndiyo kilichokuwa kinatusumbua. Click to expand... Kwa hiyo sio Mungu aliyeondoa corona, ni Magufuli? na kama corona iliondolewa na Magufuli kwanini vipimo vilizuiwa ili watu wasijue kama wana corona au la corona!
Tz mbongo said: JPM katuondolea hiyo hofu maana ndiyo kilichokuwa kinatusumbua. Click to expand... Kwa hiyo sio Mungu aliyeondoa corona, ni Magufuli? na kama corona iliondolewa na Magufuli kwanini vipimo vilizuiwa ili watu wasijue kama wana corona au la corona!