Hivi Lissu ana dini kweli?

Huyo hapo asiyeamini Mungu
Your browser is not able to display this video.
 

Ujumbe wa Lissu ni kuikejeli PHD ya rais lakini akashindwa kuitenganisha hiyo kejeli na uwepo wa Mungu.

Ni siasa ambazo mwisho wake ni siku ya uchaguzi.
 
Kwa hiyo Corona inatibiwa kwa prayers?
Jambo la msingi ni kuwa corona ilikuwepo Tanzania na sasa haipo.

Ukisoma maelezo yangu yote na ku digest kidogo tu na kutumia data utauona ukweli.

Lakini kama mahaba yako kwa Lissu yamekupofusha basi endelea kuamini corona ipo huku mkiendelea kusanyika pamoja makundi makubwa bila barakoa na bado hamuugui corona.
 
Ukisoma thread hii ndiyo unaona na kuogopa ni kiasi gani Watanzania, labda ni Waafrika wengi wako nyuma duniani. Nimeishi ma bara yote duniani lakini wanafikiria Waafrika iaogopesha sana. Education haijiasadia kwa kiwango kikubwa mno. Totally abuse of God.
 
Sawa [emoji120]
 
Unamiss point yangu. Corona haipo nchi za afrika kwa waafrika. Kusema korona imeondolewa kwa prayers ni famba.
Hapa nazungumzia afya. Lissu na Magu hawahusiki
 
Anakubali kwamba alipona kwa uwezo wa Mungu baada ya shambulio dhidi yake la risasi 18, ila anapinga uwezo wa Mungu juu ya kuponya corona

Na wafuasi wake wanamsikiliza na kushangilia
Mkuu ulinyimwa kabisa akili za kupambanua mambo?
Ungekaa kimya ingekusaidia kuficha ujinga wako!
 
Mkuu ulinyimwa kabisa akili za kupambanua mambo?
Ungekaa kimya ingekusaidia kuficha ujinga wako!

lengo la kuficha ujinga iwe ni kitu gani???

matokeo yake badala wewe mwerevu unielimishe.....unawanga shimo hadharani.
 
Unamiss point yangu. Corona haipo nchi za afrika kwa waafrika. Kusema korona imeondolewa kwa prayers ni famba.
Hapa nazungumzia afya. Lissu na Magu hawahusiki
Kama prayers hazitusaidii basi kusali kwetu ni bure.

Lakini masuala ya imani hatulazimishani. Ila mimi ninasadiki kuwa Mungu hujibu maombi ya binadamu kadiri ya mapenzi yake na ziko shuhuda nyingi tu hata katika mambo binafsi ya mtu mmoja mmoja ya watu waliomuomba Mungu jambo na wakafanikiwa. Wewe huamini katika Mungu kutuponya na corona lakini pengine unaamini katika waganga wa kienyeji na nguvu za uchawi.

Kuhusu corona kuwepo au kutowepo Africa fuatilia data za WHO utauona ukweli.
 
Hatari sana
 
Huyu dogo ni tapeli wa kisiasa siku ya kupiga kura tunamnyoosha
 
Kura za ubunge na uraisi zitasafirishwa kwenda kuhesabiwa jimboni, hazitahesabiwa kwenye vituo vya kupigia kura

Kura za udiwani zitasafirishwa kwenda kuhesabiwa makao makuu ya kata (katani)

Wapinzani hampati kitu.

Kuweni makini
Siyo kweli, mimi nasimamia uchaguzi.
 
Haki ndio jambo la msingi sasaivi na sio vinginevyo.
 
Hivi aliyeagiza Lissu auwawe kwa kupigwa risasi ana dini?
 
Mimi ni muumini sana wa dini yangu. Namuomba Mungu kila siku. Na juhudi pia nafanya. Simuombi tu Mungu pekee. Lazima na juhudi binafsi niweke. Hii ni universal principal. Nachukua CV yangu shule nilipasua kazi experience kama yote napeleka sehemu wanataka mtu aliesomea mambo zangu. Namuomba Mungu niitwe interview mara paaap. Naitwa. Napambana. Narudi home namuomba Mungu nipite mara paaap. Naitwa kuanza kazi. Sasa wewe kaa home umeishia lasaba, CV hujapeleka eti unashindana na mimi uitwe wewe just because umekesha usiku na mchana mwezi mzima kuomba Mungu uitwe wewe mi nisiitwe. Utakufa huku unamuomba Mungu mimi huyoo na juhudi zangu nimepasua.
Huu mfano unauona wa kitoto lkn uhamishie kwa korona sasa. Hakuna korona inayoondolewa kwa kuomba Mungu Mzee. Dunia nzima Tanzania tu ndio wanaomjua Mungu??!!! Com on!
Ni sawa marekani waseme waliomba Mungu malaria hamna utawaelewa.

Umekazana na WHO ...hawa jamaa ni famba achana nao. Huyo role model wako tu unaemsifia hapa Magu amewaweka pembeni wasemayo hawa leo hii wewe unawatumia km reference.
WHO ni wachumia tumbo km wachumia tumbo wengine. Fuatilia janga lilivoanza angalia response yao. Mara mafua tu mara nini. Mara nothing to worry about mara eeeh. Mara afrika watakufa km vibudu haya ni kweli tumekufa km walivyo predict? Achana na wachumia tumbo WHO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…