jijiletublog
Member
- Jul 23, 2020
- 31
- 74
Katika uchaguzi huu ni lazima watu waiite maji "ma" kwa maana spana za Tundu Lissu si za mchezo.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.
Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na ana muda wa kuhangaika na wajinga.
“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.
Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”
Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.
Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.View attachment 1611348
Lissu ni pagani tu halina dini kumpa kura ni kumkufuru MunguTangu Lisu aweke nguvu katika kuwapambania wapenzi wa jinsia mmoja nikajua Lisu anashida kichwani Ila sikutegemea kwamba anaweza kukufuru kwa kiwango hicho.
Kanisani huwa anaenda kufanya nini kama anaamini Mungu hawezi kusikiliza maombi yetu?Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.
Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na ana muda wa kuhangaika na wajinga.
“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.
Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”
Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.
Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.View attachment 1611348
Makonda alianzisha vita vizuri sana dhidi ya mashoga na yupo CCM. Ni nani aliyemzuia?Tangu Lisu aweke nguvu katika kuwapambania wapenzi wa jinsia mmoja nikajua Lisu anashida kichwani Ila sikutegemea kwamba anaweza kukufuru kwa kiwango hicho.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.
Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na ana muda wa kuhangaika na wajinga.
“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.
Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”
Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.
Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.View attachment 1611348
yeye na wafuasi wake wote ni wagonjwa wa akili na tuliishakubalina hilo.
anakubali kwamba alipona kwa uwezo wa Mungu baada ya shambulio thidi yake la risasi 18,ila anapinga uwezo wa Mungu juu ya kuponya corona.
na wafuasi wake wanamsikiliza na kushangilia.
Mpagani asiye na dhambi ya kuua wala kashfa ya ufisadi.Lisu ni pagani tu halina dini kumpa kura in kumkufuru Mungu
Raisi ajaye!.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.
Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na ana muda wa kuhangaika na wajinga.
“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.
Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”
Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.
Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.View attachment 1611348
Tangu Lissu aweke nguvu katika kuwapambania wapenzi wa jinsia mmoja nikajua Lissu anashida kichwani Ila sikutegemea kwamba anaweza kukufuru kwa kiwango hicho.
Jomba wewe watanzania huwajui wewe... anaweza kukuchekea saa hizi then baadae akakuchinjilia mbali... hapo ndipo napopapendea kwa watanzania...Kanisani huwa anaenda kufanya nini kama anaamini Mungu hawezi kusikiliza maombi yetu?
Kwani yeye isingekuwa Mungu kumponya leo hii angekuwa hai?
Sisi Wakatoliki ( Lissu akiwemo) katika kila misa baada ya mahubiri na kurudia kukiri imani yetu hufuata maombi ambapo waamini humuomba Mungu mambo mbalimbali ikiwemo kutuponya na magonjwa na majanga mbalimbali nk. Sasa yeye inaonyesha kuna mambo hakubaliani nayo. Mimi nadhani pengine aliishaacha kwenda kanisani ila sababu ya uchaguzi imebidi aende kanisani kama geresha ili wakristo wasimstukie; baada ya uchaguzi ataacha kwenda. Ni kama vile huko nyuma alipokuwa anamtukana Nyerere lakini kwa ajili ya kugombea urais akaanza kumsifia Nyerere ili watanzania wampe kura.
Watanzania wakiingia mkenge wampe kura watajuta.
Lissu ni mtu wa kuhurumia sana ameanza kuugua maradhi mabaya sanayeye na wafuasi wake wote ni wagonjwa wa akili na tuliishakubalina hilo.
anakubali kwamba alipona kwa uwezo wa Mungu baada ya shambulio thidi yake la risasi 18,ila anapinga uwezo wa Mungu juu ya kuponya corona.
na wafuasi wake wanamsikiliza na kushangilia.
Ok elewa unavyoelewa... hulazimishwi... kila mtu atabeba mzigo wake mwenyeweHakuna kufuru hapo.uelewa wako
upo chini ya kiwango