Hivi leo hii ukiulizwa utajibu wangapi?

Hivi leo hii ukiulizwa utajibu wangapi?

Hahahahaaa sijui kwa kweli but ni wengi......ikikuuma poa tu. Huwa siwezi kuongopa
 
Hakuna swali la kijinga nisilolipenda kama hili, linakata stimu sana.
 
kukutana kivipi.. maana hapa tu ninakutana na wana JF online. so its countless..
 
Back
Top Bottom