Tunako elekea hata Certificate za ki academic zitakuwa hazina ishu kabisa, Mashiraka mengi ya Nje ya Nchi yanayo fanya kazi Tanzania huwa hata hawaombi academic certificate, nisha wahi kufanya interview kwenye mashirika kama matatu na yote nilibeba veti lakini walisema hawahitaji vyeti bali CV, ila ni muhimu kwa kumbukumbu