hicho kiasi mkubwa ni baada ya kutoa gharama zingine kama kuendesha familia, usafiri na mengineyo. Yaani huwa nabakiwa na mshiko huo baada ya kugaharamia vitu vyote muhimu vya mwezi
Ingawa inatarajia na kiwango chako cha mshahara, lakini kwa standard za wengi humu, ikiwamo na mimi mwenyewe, Mkuu unapata mshahara mkubwa sana. Sijaona ni jinsi gani naweza kubakiwa na laki mbili unusu mwisho wa mwezi nikitoa gharama zote... sana sana nahitaji kiasi kama hicho zaidi ili kukamilisha mahitaji. Endelea kuserve mkuu, utatoka baada ya muda mfupi tu, si tu kwa kujenga nyumba, bali pia kuanzisha biashara yako mwenyewe.hicho kiasi mkubwa ni baada ya kutoa gharama zingine kama kuendesha familia, usafiri na mengineyo. Yaani huwa nabakiwa na mshiko huo baada ya kugaharamia vitu vyote muhimu vya mwezi
huna extended family inakutegemea ukuachilia mbali familia?Salam wanajamii wenzangu. Naamini humu hakuna wachoyo wa msaada wa mawazo. Ni kwa matarajio haya naomba kuuliza mimi nafanya kazi sekta binafsi kama mwajiriwa mwisho wa mwezi naweza ku save laki mbili na nusu
Ninauliza hivi kwa kiasi hiki ninawezaje kukitumia ili angalau miaka michache ijayo niweze kuwa na kabanda kangu na kisha angalau kamkoko kamoja kupunguza adha ya usafiri hapa mjini
Nawashukuru sana
hicho kiasi mkubwa ni baada ya kutoa gharama zingine kama kuendesha familia, usafiri na mengineyo. Yaani huwa nabakiwa na mshiko huo baada ya kugaharamia vitu vyote muhimu vya mwezi
Ingawa inatarajia na kiwango chako cha mshahara, lakini kwa standard za wengi humu, ikiwamo na mimi mwenyewe, Mkuu unapata mshahara mkubwa sana. Sijaona ni jinsi gani naweza kubakiwa na laki mbili unusu mwisho wa mwezi nikitoa gharama zote... sana sana nahitaji kiasi kama hicho zaidi ili kukamilisha mahitaji. Endelea kuserve mkuu, utatoka baada ya muda mfupi tu, si tu kwa kujenga nyumba, bali pia kuanzisha biashara yako mwenyewe.
MN,
Nipo nakubaliana na hoja yako mkuu....napata mshahara mkubwa sana kwa viwango vya bongo....lakini, hata mwezi mmoja sijaweza fanikiwa kuwa na surplus....ingawa hata baada ya kulamba mkopo bank nimekuwa hivyo hivyo, huwa na break even tu au kuwa na deficit.....!
!
Mkuu next level hauko serious juu ya kuweka akiba; unaonekana wewe ni mtu ambaye unatumia kadili unavyopata, which to me is not good kama kweli una malengo ya kufanya kitu fulani baadae!
Nina rafiki yangu mmoja anaishi DSM, wakati akipokea mshahara wa laki sita take home alikuwa anasema mshahara anaolipwa unamtosha tu kuishi basi. Alipoongzewa mshahara mpaka kufikia take home ya milioni moja na laki mbili akabadili life style kwa kuhama Tandika alikokuwa anaishi na kuhamia Sinza, pia akanunua na gari GX100. Mwaka huu mwanzoni kapata kazi nyingine kampuni moja ya nje analipwa take home ya 3.5 milioni. Tayari hivi majuzi kahama Sinza na kuhamia Mikocheni, kachukua mkopo wa gari nyingine aina ya Toyota Harrier huku akimwachia mke wake atumie ile GX100.
Next level nimetoa mfano huo mrefu kidogo kutaka kukueleza namna ambavyo waafrika walio wengi wanavyoshindwa ku manage pesa zao vipato vinapoongezeka. Wengi wakipata kipato zaidi wanabadilisha bar wanazokunywa pombe, mademu wa matawi ya juu, na magari. Hii yote ni ulimbukeni kama ongezeko la kipato hali justify kihivyo ongezeko la matumizi ya anasa!!
Mi nashauri jamaa aende kwa banker wake kwa ajiri ya kusolicit mkopo ili ajengee nyumba kwa sababu kuweka tu akiba kidogo kidogo kuna hatari ya kuja kuitumia kwenye dharula kama vile misiba, kuuguza mgonjwa n.k.

Salam wanajamii wenzangu. Naamini humu hakuna wachoyo wa msaada wa mawazo. Ni kwa matarajio haya naomba kuuliza mimi nafanya kazi sekta binafsi kama mwajiriwa mwisho wa mwezi naweza ku save laki mbili na nusu