Duuuh!Wanaume ambao hawana sauti nzito wanakumbwa na tatizo pia la kukosa hela😂😂😂😂
DuuNaomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu..
Asante
😁😁😁😁😁😁Naomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu..
Asante
Mpendwa una sauti gani? Kwa ajili yako nitatengua kauli ikitokea ukawa una sauti laini😂Duuuh!
Wameulizwa "Ladies" brohWanawake wenzetu