Hivi kwenda kusikiliza kesi ni bure kila mtu anaruhusiwa au?

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Nimekuja kuvutiwa sana na kesi zinazoendelea Tanzania has a has a zinazo wahusu wana siasa pia zinazokuwa na wanasheria hawa

1:Tundu kiasi
2:Kibatala
3:AG wa serikali
Napenda kushuhudia kesi za kikatiba na uchochezi
Je ni bure
 
Bure mkuu tena utacheka kweli mle ndani watu wanavyoulizana.....ukienda huwe unaturekodia na video utume humu
 
Back
Top Bottom