Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Hivi kweli bado tunatafuta Njia ya kututoa hapa tulipo kweli?
Katiba hatuielewi,
Sheria hazieleweki, tunatunga hii tunaacha, tunatunga nyingine tunaacha hivi wasomi wetu hamuoni?
Nchi ya Kilimo na Ufugaji, mara Viwanda, mara Utalii,
Hivi hatuwezi kutengeneza kitu cha kutujulisha Sisi kama sisi Dunua nzima ijue, ukitaja Tanzania Umetaja hiki yaani wajue hata ukionekana Nchi fulani ukajitambulisha wewe ni mtanzania wajue kwao hawa si wanafanya hiki? yaani tuwe na alama ya Nchi.