Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,085
- 2,592
Wachaga ni kweli kabisa, maana nilikuwa nae mmoja mko kitandani yeye katulia tu na kisimu chake cha tochi,
Ukimuuliza vipi mbona uko busy na simu anadai wewe endelea tu ila usishike maziwa maana ni kwa ajili ya mtoto, huku kuendelea kuchezea calculator eti anapiga hesabu kujua gharama za kufungua grocery ya mbege
🤣🤣🤣🤣🤣sitaki kuamini hili jamani
Mbona sijawahi kupata muda wa kushika simu?huyo hakuwa na hisia na wewe mkuu