James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
Nimesikia mara kazaa kuwa wanawake wa bara wako nyuma kwenye mambo ya mapenzi. Binafsi nafikiri hili ni swali gumu kulijibu ingawa linaweza kuwa na ukweli ndani yake.
Karibu ujana wangu mwingi nilikulia jijini Dar es salaam. Nikiwa jijini Dar nilipata fursa ya "kuwajua" wanawake mbalimbali lakini siwezi kuwachuja wanawake wa kuwa huyu ni wa bara na huyu ni wa pwani. Moja ya madhara ya kuishi kwenye jiji kubwa ni uwezekano wa kupoteza mila asilia kwahiyo wanawake wote niliokutana nao Dar sitowahesabia. Sasa acha niende mikoani lakini sijui nianzie wapi.
Ngoja nianzie na Singida! Wanawake wa Singida ni warembo kwa sura na maumbile. Hawa warembo wa Singida pia huonyesha hisia zao mnapokuwa kitandani.
Sasa nakwenda Tanga. Wanawake wa Tanga pia husifika kwa mapenzi na maneno yao matamu pamoja na mapishi. Nafikiri ukimpata mwanamke wa Kitanga aliyetulia utafurahia maisha yako.
Nimetembea mikoa mengine lakini sikubahatika kuwajua wanawake zao ila nitajaribu kuwatathmini kwa tabia na maumbile yao.
Mikoa ya bara hasa kama Mwanza, Shinyanga, Tarime, Iringa na Mbeya wanawake huwa na tabia za kufanya kazi za shurubu kama wanaume. Pia wanawake wa mikoa hii huwa ni wakakamavu sana kwahiyo usitegemee maneno matamu na lugha laini!
Wanawake wa Kichaga wao wamejikita sana kwenye mambo ya pesa. Nasikia unaweza kuwa katikati ya tendo la ndoa akakuuliza kama umeshalipwa deni lako!
Kwa leo acha niishie hapa lakini naomba maoni yako na wewe.