Hivi kweli walikuwepo . . . ?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kweli walikuwepo . . . ??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by CPU, Apr 22, 2011.

 1. CPU

  CPU JF Gold Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Maji yananukia harufu tamu haina mfano, anaanza kwa kukalishwa kwa namna ambayo sehemu za kati zinatulia kwenye kisos, zinaanza kukandwa taratibu na maji ya nazi yenye machicha yake, kisha zinapakwa mafuta ya nazi.

  Halafu aanza kuogeshwa mwili, kusuguliwa asuguliwa kwa machicha hayo hayo ya nazi (sio dodoki), akitoka hapo afukizwa uturi na kufungwa khanga, kazi yake ni kupumzika chumbani na kwenda sebuleni kula tu.
  Ikawa hivyo siku ya kwanza, ya pili na hatimaye ya tatu akasalimisha mtaji wote wa n’gombe na kuikana familia yake (jamani hapa siwasemi wale ndugu zangu wanaosifika kwa ufugaji n’gombe . . . . . haha aha ha ha)


  Kwa kweli walisifika mno kwa mapenzi motomoto na kutunza ndoa zao, waliimudu hiyo fani kisawa sawa. Hii ni simulizi fupi ya sehemu ya ufundi na utaalamu wa mapenzi ambayo nimehadithiwa na kaka yangu mkubwa.


  Saa hizi nikiwa kama kijana siyaoni hayo, napata wakati mgumu kuamini kama ni kweli ilikuwa hivyo kipindi cha nyuma . . . . kulikoni????
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  walikuwepo na bado wapo.Hapa JF yupo mmoja, for sekyuriti reason hatotajwa.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  :nerd:
  Weeh sipiyuu!sasa kwenye kisosi kama hazienei itakuwaje,si zitamwagika?
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Yapo CPU.....tumefanyiwa hayo na tunatunza kina Kloro.....l.o.l
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  mimi nimeweka kwenye bracket wewe unaweka hazarani. watatuloga ujue!
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  daah Nazi tena
  kazi kweli kweli ..
  recipe niijuayo ni tofauti sana lol
   
 7. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  usiitaje, CCM watapandisha bei yake.
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nina malengo binafsi...ni kati ya yale niliyofunzwa kabla sijakabidhiwa kwako.....!! :nerd:
   
 9. CPU

  CPU JF Gold Member

  #9
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hao wa sekyuriti rizon ni wa juzi juzi tu, sio origino.
  Wanajivua magamba hao
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  tobaaa! hehehe kwa utamu huu leo acha nikomenti huku nimevaa boxer tu. nikuwashie web cam uone ?
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahah lol
  haya bwana mmhhh
  Nilikuwa najitayarisha kutoa za bure..
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  halaf kamanda mbona Lizzy haonekani au tayari ameanza kujiskia kichef chef cha miezi tisa?
   
 13. CPU

  CPU JF Gold Member

  #13
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkubwa, ohoooo
  Unakuwa umeshapimwa saizi ya sehemu za kati kitamboooooo
  Kikiletwa kisos ni kuenea tu, hakuna cha kumwagika wala kuvuja
   
 14. CPU

  CPU JF Gold Member

  #14
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Basi na mimi nionjeshe ili nikubali bado mpo . . .
   
 15. CPU

  CPU JF Gold Member

  #15
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Haya hayakuwepo.
   
 16. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Mambo ya Tanga hayo, Nazjaz upo ?
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Bruno Mars.....Just the way you are.....:whoo:
   
 18. CPU

  CPU JF Gold Member

  #18
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unajifanya kushangaa nini sasa???
  Au unataka kusema unajivua gamba???
  Wewe ndio unanipa haya mambo mpaka nimeuza hadi jina langu
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  he he he he Kloro naomba ujibu.....CPU habari yako binafsi jamani? siku nyingi? me miss you!

  Lizzy hajambo?
   
 20. CPU

  CPU JF Gold Member

  #20
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Shoga yake Sophia Simba ataitisha kikao na akina mama/dada waandamane kuwanyima naniliiiiiiiu . . .
   
Loading...