Hivi kweli tumefika huku??

Swali,tamaa ya kupata mume mwingine nje ya mume wake?

Halafu hawajui kwamba hata huyo jamaa akishamuoa na yeye mambo yanabadilika,uwezo wa ku-perfom lazima utapungua kidogo...

Wanashindwa elewa ilo kwamba majukumu yakizidi yanapelekea performance inakuwa sio ile ya uchumba ..afu na kingine hawako wazi kusema changamoto na namna ya kuzitatua
 
Sidhani kama kuna mwanamke mwenye kujiongelea yote hayo bado huenda huyo alowaambia zitakuwa kidogo chenga kichwani
 
Sidhani kama kuna mwanamke mwenye kujiongelea yote hayo bado huenda huyo alowaambia zitakuwa kidogo chenga kichwani
Kisaikolojia mtu akishakuwa disturbed inawezekana kabisa... Na inakuwa ni namna ya kumueousha kuwa kichaa kabisa au kujinyonga,inamsaidia kiasi fulani kupata "relief" japo wengine tunakuwa tunamuona wa ajabu sana..
 
Yaani kwanza wakati mwenzao anafanyiwa hivyo ...wao huwa wanafanya sherehe ili atolewe ndani ya nyumba wapate nafasi wao
 
Yaani kwanza wakati mwenzao anafanyiwa hivyo ...wao huwa wanafanya sherehe ili atolewe ndani ya nyumba wapate nafasi wao
Nadhani hapo ndo palipo na tofauti kubwa kati ya sisi na nyinyi!
 
Pole mwana wa nchi,hasira yako imeonekana dhahiri.

Sasa wewe umesoma,ungekuwepo anavyosimulia kama sisi wengine sijui ungemfanyaje?

Maana wanaume wote ndani ya gari tulikuwa kimyaa nadhani ilikuwa ishara kuwa kila mmoja ana hasira na yule dada lakini tulivumilia tu kumsikiliza hadi mwisho.

Lakini ukweli sisi wote hakuna hata mmoja aliyemhurumia kwa kudhulumiwa isipokuwa hasira zetu zilikuwa kwake kwa namna alivyomfanyia mwanaume mwenzetu (mume wake)
 
Yaani kwanza wakati mwenzao anafanyiwa hivyo ...wao huwa wanafanya sherehe ili atolewe ndani ya nyumba wapate nafasi wao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi huwa nashangaa as if mtu anaeenda kuolewa nae ni tofauti na anaemtenda mwenzake.. kweli crazy in love brother
 
Mkuu wewe acha tu ...ndio maana wajuzi wa lugha wa kasema kufa kufaana ... naona dada zetu wameamua ku-hang na hiyo nahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi huwa nashangaa as if mtu anaeenda kuolewa nae ni tofauti na anaemtenda mwenzake.. kweli crazy in love brother
 
Kuna binadamu wanasikitisha sana... muosha huoshwa...

Huyo mwanaume kaona mbali sana, ameona kama huyu anamzunguka mume wake, hata mimi baadae atanizunguka pia, ndiyo maana ammemtumia na kumuacha...

Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…