Hivi kweli tumefika huku??

Mpumbavu sana huyo dada Narudia MPUMBAVU SANA


Na bado akatike hata miguu mjinga mmoja huyo.... Unachukua mkopo unampa hawara??? Eti akajenga fwack, amediriki kumdanganya mume kuchukua pesa zote kumpa mchepuko,. Haya leo kakosa ndoa kamjengea mwenzie nyumba kilaiiini kabisa mjinga kabisa huyo

Ndoa sio kitu cha kuchezea, kama alikuwa anajua mume hatokidhi haja zake kwanini alikubali kula kiapo cha ndoa mjinga huyo? Anafikiri ndoa ni kula wali maharagwe?

Hii story imeniharibia siku kabisaaaa
 
Naked truth,but most of you women need all that at a time,you want a man financially stable,emotionally supportive,sexually aggressive,and even if he have all that you still judge him on the handsomeness,if he is handsome you start judging the body morphology,(muscles and height)

So it is always difficult for a woman to find a man who meets all of qualities needed!
 
Anayo kwa nini asiwe nayo? Hapo huyo aliyejenga ana dhambi kwanza ya kuzini na mke wa mtu pili dhurma
Ya kuzini ni obvious,nazungumzia kumdhulumu huyo dada,sio kwamba Mungu alikuwa anampa fundisho msaliti wa ndoa...?
 
Ana dhambi kwanini akubali kuchukua hizo pesa
Jamabi Mungu kama ameamua kumpa fundisho huyo dada aliyekuwa anasaliti ndoa yake jamaa (mzinzi mwenzake) angeweza kupinga mpango wa Mungu kweli???

Maana mimi najiuliza maswali mengi sana lwenye hilo
 
Jamabi Mungu kama ameamua kumpa fundisho huyo dada aliyekuwa anasaliti ndoa yake jamaa (mzinzi mwenzake) angeweza kupinga mpango wa Mungu kweli???

Maana mimi najiuliza maswali mengi sana lwenye hilo
Hapana dhambi anayo tu
 
Chama cha Mabaharia na waomba mumtendee Haki huyo mwanaume Aliyekula hela za huyo dada na kujenga nyumba kisha aka muweka mwanamke mwingine

Pia mumpandishe cheo haraka sana. Anastahiki kupewa uenyekiti wa Kanda ya Tanzania mashariki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila hapo ndio tofauti ya wanawake na wanaume huonekana.. mwanaume anadate mke wa mtu lakini visanga vya mwanamke kwa mume wake huwa vinamkaa kichwani na huwa ni alert ya kutooa hata akiachana na mume wake.. ila wanawake sasa, anaweza ona mke wa jamaa anavyotendewa ila akisifiwa sifiwa huwa anajaa na jamaa akitangaza ndoa anakubali bila kujua na yeye ni mwanamke kama wanawake wengine, mwisho wa siku wanaendelea kulialia huku wajamaa wakitafuta kitu safi ingine kwenye chepo
 
Pole sana
 
shikamooo mkuu, i thnk this wll be the best comment ever for this thread......thanks
 
yaani nilikuwa nasikiliza nyimbo ikabidi niusima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…