Nsibhwene
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 293
- 217
Duuuh. Ya kweli hayo!? Ngoja nianye analysis kidogo halafu nirudi. Maana naona Kama haupo TZ.Hamna kosa bratha but Tanzania ya saasa siyo unaeijua if u don't live there its worse and magufuli is the reason with his leadership fast forwading a beutiful nation to a big cliff......
Ijapokuwa kwa ufupi. Kabla ya JPM, tuliishi maisha very artificial. Na kila mtu aliona hivo na ndio maana ikafikia hatua watu walitaka Kiongozi ajaye awe na traits za kidikteta ikiwemo cdm.
Ndio maana hata cdm wakaona edo angeweza kuisogeza nchi maana naye ni aina ya jpm ijapokuwa ukimwangalia utadhani ni muungwana kwelikweli.
Kumbuka utendaji wake alipokuwa PM. Watendaji wa serikali walishughulishwa kwelikweli na alikuwa mfuatiliaji sana. Alisimamia na kuhakikisha analoamini linakuwa hata kwa kuvunja sheria. Alionekana kuwa na nguvu kuliko JK hali ambayo iliwaingiza kwenye gogoro na matokeo yake yakawa kama yalivyokuwa. Edo ilibidi aondolewe kwa kashfa.
Naamini kama Edo angechukua nchi, ni kweli ingesonga mbele lakini kwa staili hizi hizi ya kwamba lazima baadhi ya watu waumie maana hakuna mabadiliko na maendeleo yasiyo na maumivu.
Kikubwa ni kwamba, tumpe nafasi jpm atekeleze ndoto na maono yake juu ya nchi anayoitaka iwe huku akitekeleza ilani ya chama chake.