TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Nisiseme mengi, Ila baada ya Uchaguzi wa 2016 Hapa Marekani, Kumezuka Mambo mengi sana, Shutuma, Kashfa Usaliti, Madai ya Njama, Kuingilia Madaraka ya Upelelezi wa Urusi kuvuruga Uchaguzi, Kumfukuza Mkurugenzi wa FBI kimizengwe kama alivyofukuzwa Nape!
Kila kukicha kwenye Magazeti TV na Radio kuna Drama mpya Kutoka Ikulu ama Twitter za Mkuu. Je kwa hali hii hata Miezi sita Bado kutimia Trump atatoboa Miaka 3 1/2 iliyobakia au Patachimbika kama Richard Nixon. Ikumbukwe Nchi za Marekani na Ulaya, kuna mstari wa Uadilifu au kuchezea Utwala wa Sheria na Katiba ukiuvuka, Hata chama chako wanakutema kama hawakujui.
By the way Kwa Maoni yangu, na hali halisi ilivyo, Mstari huo Rais wa Tanzania Magufuli alishauvuka tangu mwaka Jana! Je Trump ameshauvuka au anaukaribia?