Dr. BASHIRU hawezi kutoa mchango wowote kwenye taarifa ya CAG maana vijana wale watamsimanga kwa matusi na kejeli.

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Nguli wa siasa za Tanzania na mzalendo wa kweli anayejulikana kama socialist Dr.Bashiru ni mwanasiasa pekee ambaye hawezi kuchangia chochote kwenye taarifa ya CAG kwani anajuwa vizuri kuwa akitoa neno lolote la kushauli vijana wale watamporomoshea matusi kwa kuwa hawana hoja Zaidi ya matusi yaliyomo vichwani mwao .

Wapo mawaziri wengi serikali ya awamu ya sita ni mzigo mkubwa na wanalindwa na mfumo na kilanja wao mkuu ameruhusu wale kulingana na urefu wa kamba yao ! Anayejuwa tangu taarifa za CAG itolewe Mwaka 2021/2022 kuna kiongozi yeyote aliyechukuliwa hatua kwa ubadhilifu aje hapa atuambie..

Kwa hiyo mnagoyaona CCM wao kwa wao wakilialia ni kiini macho lao ni moja kwani hamjaona kwenye mkataba wa bandari walivyokuwa wanatukana Hadi wapinzani nini kimetokea baada ya hapo ! Kwa hiyo ni vizuri mjue kuwa CCM waliiwengi ni genge la wahalifu na wabadhilifu wa Mali za umma ! Ukihoji unaporomoshewa matusi kwa hiyo ndiyo maana wenye uelewa wanakaa kimya kwa kigezo Bora liende.
 
Acha tu yamkute huyo Bashiru. Yeye alishirikiana na Magufuli kuharibu demokrasia ya nchi hii kwa kujaza wabunge wa ccm huko bungeni kinyume na ridhaa ya wananchi. Akithubutu tu kufungua mdomo amwagiwe matusi mazito, kejeli na Kila upuuzi unaowezekana. Hatuwezi kuvumilia washenzi wanaochezea demokrasia yetu kwa kujipendekeza kwa viongozi madhalimu.
 
Bashiru haijawai kuwa mzalendo hata siku moja. Ni kati ya watu wanaotanguliza matumbo yao, ni mtu asiye na msimamo na hawezi kusimamia kile anachokiamini kama ilivyo kwa Polepole na Kabudi.

Mwanzoni nilikuwa na mawazo kama yako kuhusu watu hawa. Lakini walikuja kuonyesha rangi zao halisi baada ya kupewa madaraka na mwendazake. Tunapitia madhira ya wabunge wabovu, spika mbovu na Serikali mbovu kwa sababu ya akina Bashiru wakiongozwa na kiranja wao mkuu mwendazake. Laiti akina Bashiru wangetumia madaraka yao kwa manufaa ya nchi, tusingekuwa na viongozi wa hovyo tulionao kwenye hii awamu hata kama Mungu ameamua kama alivyoamua kumchukuwa mwendazake. Walitulazimishia wabunge tulionao kwa manufaa yao binafsi, Ila Mungu hakuwa upande wao, na serikali ya Samia inatumia weakness hiyo kufanya inavyotaka. Bashiru si mzalendo hisipokuwa ni power monger.
 
Kwa kweli sema umemsubiri aongee umeshushuka.. usilazimishe mtu aongee kama hana la kusema.
 
Bashiru haijawai kuwa mzalendo hata siku moja. Ni kati ya watu wanaotanguliza matumbo yao, ni mtu asiye na msimamo na hawezi kusimamia kile anachokiamini kama ilivyo kwa Polepole na Kabudi.

Mwanzoni nilikuwa na mawazo kama yako kuhusu watu hawa. Lakini walikuja kuonyesha rangi zao halisi baada ya kupewa madaraka na mwendazake. Tunapitia madhira ya wabunge wabovu, spika mbovu na Serikali mbovu kwa sababu ya akina Bashiru wakiongozwa na kiranja wao mkuu mwendazake. Laiti akina Bashiru wangetumia madaraka yao kwa manufaa ya nchi, tusingekuwa na viongozi wa hovyo tulionao kwenye hii awamu hata kama Mungu ameamua kama alivyoamua kumchukuwa mwendazake. Walitulazimishia wabunge tulionao kwa manufaa yao binafsi, Ila Mungu hakuwa upande wao, na serikali ya Samia inatumia weakness hiyo kufanya inavyotaka. Bashiru si mzalendo hisipokuwa ni power monger.
Well katanguliza matumbo...

Embu sema hapa, Ni ukwasi gan kajimilikia Dr Bashiru???.

Usiongee kwakua Una mdomo.

Unganisha Mdomo wako mkubwa na ka akili Kako kadogo ulikojaliwa, Kisha uongee.
 
Bashiru haijawai kuwa mzalendo hata siku moja. Ni kati ya watu wanaotanguliza matumbo yao, ni mtu asiye na msimamo na hawezi kusimamia kile anachokiamini kama ilivyo kwa Polepole na Kabudi.

Mwanzoni nilikuwa na mawazo kama yako kuhusu watu hawa. Lakini walikuja kuonyesha rangi zao halisi baada ya kupewa madaraka na mwendazake. Tunapitia madhira ya wabunge wabovu, spika mbovu na Serikali mbovu kwa sababu ya akina Bashiru wakiongozwa na kiranja wao mkuu mwendazake. Laiti akina Bashiru wangetumia madaraka yao kwa manufaa ya nchi, tusingekuwa na viongozi wa hovyo tulionao kwenye hii awamu hata kama Mungu ameamua kama alivyoamua kumchukuwa mwendazake. Walitulazimishia wabunge tulionao kwa manufaa yao binafsi, Ila Mungu hakuwa upande wao, na serikali ya Samia inatumia weakness hiyo kufanya inavyotaka. Bashiru si mzalendo hisipokuwa ni power monger.
Well said mkuu.
 
Nguli wa siasa za Tanzania na mzalendo wa kweli anayejulikana kama socialist Dr.Bashiru ni mwanasiasa pekee ambaye hawezi kuchangia chochote kwenye taarifa ya CAG kwani anajuwa vizuri kuwa akitoa neno lolote la kushauli vijana wale watamporomoshea matusi kwa kuwa hawana hoja Zaidi ya matusi yaliyomo vichwani mwao .

Wapo mawaziri wengi serikali ya awamu ya sita ni mzigo mkubwa na wanalindwa na mfumo na kilanja wao mkuu ameruhusu wale kulingana na urefu wa kamba yao ! Anayejuwa tangu taarifa za CAG itolewe Mwaka 2021/2022 kuna kiongozi yeyote aliyechukuliwa hatua kwa ubadhilifu aje hapa atuambie..

Kwa hiyo mnagoyaona CCM wao kwa wao wakilialia ni kiini macho lao ni moja kwani hamjaona kwenye mkataba wa bandari walivyokuwa wanatukana Hadi wapinzani nini kimetokea baada ya hapo ! Kwa hiyo ni vizuri mjue kuwa CCM waliiwengi ni genge la wahalifu na wabadhilifu wa Mali za umma ! Ukihoji unaporomoshewa matusi kwa hiyo ndiyo maana wenye uelewa wanakaa kimya kwa kigezo Bora liende.
Atuambie ile 1.4 trilion alikula nani hadi CAG Asad akang'olewa
 
Acha tu yamkute huyo Bashiru. Yeye alishirikiana na Magufuli kuharibu demokrasia ya nchi hii kwa kujaza wabunge wa ccm huko bungeni kinyume na ridhaa ya wananchi. Akithubutu tu kufungua mdomo amwagiwe matusi mazito, kejeli na Kila upuuzi unaowezekana. Hatuwezi kuvumilia washenzi wanaochezea demokrasia yetu kwa kujipendekeza kwa viongozi madhalimu.
Wew ni wa kuupwa
 
Hivi kweli mama anasomasoma hata taarifa ya CAG akaona hela za umma zinavyopigwa.
 
Acha tu yamkute huyo Bashiru. Yeye alishirikiana na Magufuli kuharibu demokrasia ya nchi hii kwa kujaza wabunge wa ccm huko bungeni kinyume na ridhaa ya wananchi. Akithubutu tu kufungua mdomo amwagiwe matusi mazito, kejeli na Kila upuuzi unaowezekana. Hatuwezi kuvumilia washenzi wanaochezea demokrasia yetu kwa kujipendekeza kwa viongozi madhalimu.
 
Acha tu yamkute huyo Bashiru. Yeye alishirikiana na Magufuli kuharibu demokrasia ya nchi hii kwa kujaza wabunge wa ccm huko bungeni kinyume na ridhaa ya wananchi. Akithubutu tu kufungua mdomo amwagiwe matusi mazito, kejeli na Kila upuuzi unaowezekana. Hatuwezi kuvumilia washenzi wanaochezea demokrasia yetu kwa kujipendekeza kwa viongozi madhalimu.
Mchuma janga hula na wa kwao Bashiru mshamba mshenzi.
 
Back
Top Bottom