Hivi kweli MIST ina sifa za kuwa chuo kikuu?

Hivi kweli MIST ina sifa za kuwa chuo kikuu?

kwanza nackia dit wana mpaka masters must hawana.
pili dit ina kozi nyingi kuliko hata must.
sababu nnazofaham ni hizi,kama cko right napenda nifahamishwe lakini hiki ndo nachofahamu kwa utafiti niliofanya

Kuwa na masters Sio ishu
Pia wingi wa course Sio ishu coz course unayosoma ipo so ni shule tu

Fields nyingi Ndio uinjinia
But we ukiwa mezameza uinjinia wako utaishia darasani
Ni kumeza plus field hapo utatoboa
 
kwanza nackia dit wana mpaka masters must hawana.
pili dit ina kozi nyingi kuliko hata must.
sababu nnazofaham ni hizi,kama cko right napenda nifahamishwe lakini hiki ndo nachofahamu kwa utafiti niliofanya

Mkuu, nimejaribu kufuatilia ombi lako na mjadala nikapata shida kidogo kuelewa nini hasa tatizo lako...lakini uliposisitiza WINGI WA KOZI na UPATIKANAJI WA MASTERS nikaanza kuelewa kidogo...

Wingi wa kozi katika chuo chochote kile unachangiwa kwa kiasi kikubwa na utoshelevu wa wahadhiri, umri wa chuo husika...

DIT na kile cha Arusha vina muda mrefu tangu vipewe ithibati ya kuendesha kozi za shahada kuliko MUST...kwa mantiki hiyo ni rahisi kuwa na kozi...
 
then naomba kufahamu kama nikisoma diploma yangu apo MUST ,naweza nikaenda kuchukua degree kwny chuo kikuu kama UDSM?
Na kama inawezekana ni miaka mitatu kama ya college au?
 
then naomba kufahamu kama nikisoma diploma yangu apo MUST ,naweza nikaenda kuchukua degree kwny chuo kikuu kama UDSM?
Na kama inawezekana ni miaka mitatu kama ya college au?

unaweza ndio lakini miaka utasoma minne ya degree ,haijalishi kama utakua umebadilisha fani au unaendlea na fani hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom