my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,384
Unajuaje kama maombi ndio yalikuponyesha? Hukua ukitumia njia nyingine za kujitibu..?Mimi nimepona kwa maombi nikiwa hoi kabisa na nikiwa Niko na Hali mbaya
Ulikuwa hutumii dawa zaidi ya maombi tu?Mimi nimepona kwa maombi nikiwa hoi kabisa na nikiwa Niko na Hali mbaya
So maombi yanaweza kupona mgonjwa ya saikolojia tu lakini sio magonjwa mengine?Kama hoja ni kushuhudia wapo wengi wanaopona, lakini ni wagonjwa walioandaliwa, kiukweli labda uwe na mapepo au stress ndio maombi yanaweza kukuponyesha lakini kama ugonjwa wako ni ugonjwa halisi,hata waombeaji wote duniani wakuombee hutapona ni mpaka utumie njia halisi kama hospitali au dawa za kienyeji
Duh! Alichukua muda kiasi gani kupona wakati akitumia maombi kama dawa? Alikuwa hatumii dawa yoyote zaidi ya maombi?Kuna jirani aligundulika ana mchanga ndani ya mguu wake. Maombi ndio yalimponya
Nataka kujua tu. Kuliwai kutokea mgonjwa kwenye familia yetu maombi hayakusaidia nataka kujua kama yanafanya kazi kwa watu wengineMkuu wewe endelea kumuamini Mungu tu hayo mengine usihoji aisee! Ukihoji sana utaambiwa una Moyo mgumu!
Maombi yanaponesha magonjwa yale yanayoweza kutoweka bila kutibiwaMimi naamini uwepo wa Mungu namuabudu pia mfuasi wa dini fulani. Lakin kwa haya mambo ya mtu kupona kwa maombi au dua tu huwa siamini. Inaezekana kweli zamani enzi za manabii watu walikuwa wanapona kweli kwa maombi/ dua lakin kwa dunia ya sasa sidhani kama kuna hki kitu. Yani mtu kupona ugonjwa kwa maombi tu bila kutumia dawa au vtu kama ivi. Ulishwahi kushuhudia mtu aliepona kwa maombi tu? Sio kushuhudia kwnye tv au kuhadithiwa namaanisha kushuhudia kwa macho yko mgonjwa/ mtu alikuwa na matatizo akawa sawa kwa maombi tu? Hpa namaanisha labda mtu ulikuwa unamuona ana struggle kwa muda mrefu baadae akaenda kwenye maombi akawa sawa. Umewai shuhudia ktu km hii?
Ulikua unaumwa ugonjwa gani?Mimi nimepona kwa maombi nikiwa hoi kabisa na nikiwa Niko na Hali mbaya
Nataka kujua tu. Kuliwai kutokea mgonjwa kwenye familia yetu maombi hayakusaidia nataka kujua kama yanafanya kazi kwa watu wengine
UGONJWA gani mkuu! ?Mimi nimepona kwa maombi nikiwa hoi kabisa na nikiwa Niko na Hali mbaya
Mkuu Ni kweli tupu.toka utoto wangu sijawahi shuhudia mtu anae umwa tatizi linalo onekana kwa macho kapona kwa MAOMBI! wengi ya waliopona Ni wale wa kipofu macho yasiyo na dalili za upofu,kiziwi,kilema wa magongo wenye ulemavu usio na dalili za kulemaa na SI wale wenye ulemavu usio na Shaka.Maombi hayaponyeshi ukiona mtu anapona kwa maombi basi ujue ana psychotic disoder wala hakuna mapepo
Ila kwa magonjwa ya communicable na non communicable disease lazima upate dawa iwe ya hosp au miti shamba na wala sio maombi
Watu wa zamani walipokuwa wanumwa wao waliaamimi ni sprit evil roho chafu lakini ilipokuja pathology ikasaidia kujua kuwa ugonjwa wowote unasababishwa na kitu wala si pepo chafu
Kama kweli mnaaamini hayo maombi yenu yana nguvu na yanaponyesha kusanyeni wakristo wote na waislam wote dunia nzima waombeeni wagonjwa wote wenye malignant HIV na Covid 19 wapone na mkiona hamuwezi ujue hayo maombi yenu ni psychotic disoder