Hivi kweli kuna watu wanapona kwa maombi?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Mimi naamini uwepo wa Mungu namuabudu pia mfuasi wa dini fulani. Lakin kwa haya mambo ya mtu kupona kwa maombi au dua tu huwa siamini.

Inaezekana kweli zamani enzi za manabii watu walikuwa wanapona kweli kwa maombi/ dua lakin kwa dunia ya sasa sidhani kama kuna hki kitu. Yani mtu kupona ugonjwa kwa maombi tu bila kutumia dawa au vtu kama hivi.

Ulishwahi kushuhudia mtu aliepona kwa maombi tu? Sio kushuhudia kwnye tv au kuhadithiwa namaanisha kushuhudia kwa macho yko mgonjwa/ mtu alikuwa na matatizo akawa sawa kwa maombi tu?

Hapa namaanisha labda mtu ulikuwa unamuona ana struggle kwa muda mrefu baadae akaenda kwenye maombi akawa sawa. Umewai shuhudia ktu km hii?
 
Kama hoja ni kushuhudia wapo wengi wanaopona, lakini ni wagonjwa walioandaliwa, kiukweli labda uwe na mapepo au stress ndio maombi yanaweza kukuponyesha lakini kama ugonjwa wako ni ugonjwa halisi,hata waombeaji wote duniani wakuombee hutapona ni mpaka utumie njia halisi kama hospitali au dawa za kienyeji
 
So maombi yanaweza kupona mgonjwa ya saikolojia tu lakini sio magonjwa mengine?
 
Mkuu wewe endelea kumuamini Mungu tu hayo mengine usihoji aisee! Ukihoji sana utaambiwa una Moyo mgumu!
Nataka kujua tu. Kuliwai kutokea mgonjwa kwenye familia yetu maombi hayakusaidia nataka kujua kama yanafanya kazi kwa watu wengine
 
Mimi naamini uwepo wa Mungu namuabudu pia mfuasi wa dini fulani. Lakin kwa haya mambo ya mtu kupona kwa maombi au dua tu huwa siamini. Inaezekana kweli zamani enzi za manabii watu walikuwa wanapona kweli kwa maombi/ dua lakin kwa dunia ya sasa sidhani kama kuna hki kitu. Yani mtu kupona ugonjwa kwa maombi tu bila kutumia dawa au vtu kama ivi. Ulishwahi kushuhudia mtu aliepona kwa maombi tu? Sio kushuhudia kwnye tv au kuhadithiwa namaanisha kushuhudia kwa macho yko mgonjwa/ mtu alikuwa na matatizo akawa sawa kwa maombi tu? Hpa namaanisha labda mtu ulikuwa unamuona ana struggle kwa muda mrefu baadae akaenda kwenye maombi akawa sawa. Umewai shuhudia ktu km hii?
Maombi yanaponesha magonjwa yale yanayoweza kutoweka bila kutibiwa
 
Wengi tu Kuna jamaa alikuwa dereva na muislamu aliletwa kanisani akiwa hawez kuamka, kuongea Wala kusikia na hajitambui hata mke wake na watoto hawajui na hajui watt Ni Nini na maana ya mke!!!
alipigwa fire maombi ya Siku 14 Tena kambi, na akaanza kupona taratibu Sasa hivi mzima anafanya Kazi Yap merkez Morogoro...
 
Maombi hayaponyeshi ukiona mtu anapona kwa maombi basi ujue ana psychotic disoder wala hakuna mapepo
Ila kwa magonjwa ya communicable na non communicable disease lazima upate dawa iwe ya hosp au miti shamba na wala sio maombi
Watu wa zamani walipokuwa wanumwa wao waliaamimi ni sprit evil roho chafu lakini ilipokuja pathology ikasaidia kujua kuwa ugonjwa wowote unasababishwa na kitu wala si pepo chafu
Kama kweli mnaaamini hayo maombi yenu yana nguvu na yanaponyesha kusanyeni wakristo wote na waislam wote dunia nzima waombeeni wagonjwa wote wenye malignant HIV na Covid 19 wapone na mkiona hamuwezi ujue hayo maombi yenu ni psychotic disoder
 
Mkuu Ni kweli tupu.toka utoto wangu sijawahi shuhudia mtu anae umwa tatizi linalo onekana kwa macho kapona kwa MAOMBI! wengi ya waliopona Ni wale wa kipofu macho yasiyo na dalili za upofu,kiziwi,kilema wa magongo wenye ulemavu usio na dalili za kulemaa na SI wale wenye ulemavu usio na Shaka.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom