T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,650
- 34,928
Mkuu bado una blogKipindi cha mwaka 2014 hadi 2015 kikweli ilikuwa kipindi kizuri wakati huo nafanya google adsense hizi $150 hadi $300 zimenivusha sana nilikuwa na blog yangu so kuna trick tulikuwa tunapeana lakini account sometimes zilikuwa zinafungwa, washkaji wengine walikuwa wanafika hadi $1000 kwa mwezi, siku nilipoenda kutoa pesa pale bank ya posta kwa mara ya kwanza kupitia Western Union hapo posta maeneo ya posta Dar sikuamini macho yangu, so online kuna pesa sio uongo lakini yakupasa kuwa makini.