Hivi kweli kuna 'Jini la Pesa?'

Sikushauri kabisa siku hizi wapigaji wengi utapoteza pesa muda vitu na uhai wa wasio hatia kisha ukose na hizo pesa
 
Sikushauri kabisa siku hizi wapigaji wengi utapoteza pesa muda vitu na uhai wa wasio hatia kisha ukose na hizo pesa
kwahiyo huwezi kunisaidia katika hilo 😑😑😑😑😑😑
 
Ni kweli , tangu zamani ila ni siri . Unaona mtu anapeta bila hata juhudi ya maana na huku anapasua sala sana . Zamani babu mmoja mcha Mungu ila duka lake hakuna mtu aliyemuona akinunua bidhaa , anafunga duka ila kesho duka limeshajazwa mali .
 
Maswali ninayo mengi!..
Hilo Jini, linatoaje Pesa?
Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje!
Mimi nalihitaji wakuu!

kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate!
Shangaa na wewe! Huyo anayetaka kukupa Jini la Pesa hata nyumba hana, ana kakibanda ka nyasi mvua zikinyesha ni tabu tupu. Bado unaamini tu?
 
Sauda lkn lisemwalo lipo mi anaendelea kuzisaka nkifanikiwa nitaleta mrejesho
 
Huwa nakufatilia sana ktk mambo yako ebu naomba siku moja uzungumzie hili kwa kina ili pia wale wanajamvi pia tunaokua na imani fulani tupate kuelewa zaid maana siku hizi wapigaji wengi kweli Mshana Jr wahanga ni weng sana ktk hili mkuu
 
Maswali ninayo mengi!..
Hilo Jini, linatoaje Pesa?
Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje!
Mimi nalihitaji wakuu!

kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate!
Jini lenyewe unalo katikati ya mapaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…