Mpaka likutafute lenyewe ....zingine zote ni stori kavu bila mchuzi wala saloSawa, Tuachane na "hadithi za kufikirika"
Kweli Pesa za namna hiyo zipo?
Nitazipata vipi?
Masharti siwezi shindwa wala siogopi katika hilo!
Kweli mungu hasaidii, mim kutwa napgika na jua lakni hela za maana hakuna.Mungu hasaidii!
hela ninazozitaka hapa, si hela za mboga na viwalo, hapana.
NAHITAJI HELA ZA MAANA.
hahahaa wwe Jamaa usinikumbushe aiseee...Ndio, niko tayari!
Nitaipataje hiyo mihela?
Aaahhhhh acha tu ""...Nakukumbusha nini!
Zina mateso sana hela hizo yani watakao faidi ni ndugu zako tuu na mke ila wewe mwenyewe unakuwa unapata mateso balaaa ila kama uko tayari kufanya hayaMaswali ninayo mengi!..
Hilo Jini, linatoaje Pesa?
Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje!
Mimi nalihitaji wakuu!
kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate!
mbona masharti rahisa sana hayo!Zina mateso sana hela hizo yani watakao faidi ni ndugu zako tuu na mke ila wewe mwenyewe unakuwa unapata mateso balaaa ila kama uko tayari kufanya haya
1. kumuuwa mama yako au baba yako
2. kukutoa korodani moja au machine isiwe inasimama kabisa yani usiwe unapiga game
3.uwe unalala chini kwenye sakafu usiku bila kujifunika wa kulalia chochote na ukiwa uchi kila siku mpaka utakapo kufa
4.Mengine ni ya kutovaa vizuri, kutovaa viatu, usinywe pombe au kufanya starehe zozote, uwe unakula maharge na tembele kwa wiki mara 3 na siku zinazobaki unakula samaki na nyama isizidi nusu kilo
5.unaoga kwa wiki mara mbili
6. utazikuta huku huku
NB.
ukiwa tayari unijulishe nikupeleke mie nilishindwa
zipo tunduma pale na nyingine za kuuwa ndugu zako na kulala na mifugo ziko swangambona masharti rahisa sana hayo!
wewe niambie zinapatikana wapi na zinapatikana vipi!
NB. ZIWE NI HELA KWELI, SIO HELA ZA KUWAZA WAZA.
Mkuu, isijekuwa ni hadithi na stori za kusimuliwa!1.Zipo za kufa wiki mbili mkeo anakuwa anakusanya funza tuu
2.za kuuwa kila mwaka ndugu yako au watoto wako hasa wale kipenzi chako
3.kupotea mwenyewe baada ya wiki unarudi ila hii unaweza usirudi kabisa siyo nzuri
4.zipo za kulala na mama yako yani unafanya mapenzi na mama yako kila mwezi
5. Zipo za kukatwa vidole vya miguu na unavaa hirizi kiunoni isionekane kwa yeyeyote except mke
ila hii hainaga hela nyingi
ushauri wangu chukuwa namba nne (04) ina pesa sana
sio hadithi, mfano number 4 hiyo alikuwa nayo anko yangu ila alivyokufa tuu na mali zikaisha baada ya mwaka mmoja tuu ,,, ila pesa za majini sio nzuri aiiiseMkuu, isijekuwa ni hadithi na stori za kusimuliwa!