Hivi kweli kuna 'Jini la Pesa?'

Hivi kweli kuna 'Jini la Pesa?'

Sauda

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
860
Reaction score
1,107
Maswali ninayo mengi,

Hilo Jini, linatoaje Pesa?
Ni kwamba linakujazia 'Majaba'? Yamejaa mihela? au inakuwaje?

Mimi nalihitaji wakuu! kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. Ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate
 
Maswali ninayo mengi!..
Hilo Jini, linatoaje Pesa?
Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje!
Mimi nalihitaji wakuu!

kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate!
Mh! Hatari
 
Duuhhh
 
Cha ajabu wanaogawa hayo majini ya pesa hawana hizo pesa.
 
Back
Top Bottom