samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
kweli watanzania mmenishinda kweli mkulu kachoka ,serikali yake na raia wote, kazi kwelikweli,
Tunakula nyama na tunakunywa UleviMbona sisi tuko hapa Mnadani tunakula nyama choma na larger bila kuwa na taarifa kama hiyo. Tukio liliochukua muda mrefu kuandaliwa linaweza kubadilishwa kwa kurudishwa nyuma au kupelekwa mbele kirahisi hivyo, tena siku moja kabla !! Huyo Mgeni Rasmi atatoka wapi ? hakuna kitu kama hicho.
Kwani nimebisha n dugu yangu mie nimeuliza hapa nani mwenye hizo data basi maana watu bado hawajaamini hili kua linawezekana
Ni kwamba JK anatoa hotuba ya Nane Nane jumatano tarehe 7. Na kufunga rasmi maonesho ya kilimo. Hii ni ili asiamke kabisa siku ya tarehe 8. Ambayo inadaiwa kuwa ni Eid.