Habarini
Kuna tetesi kua serikali imetoa waraka kwamba sherehe ya nane nane itafanyika kesho kwa hiyo ni siku ya mapumziko, yoyote mweny kuona huu waraka atuambie basi
Shukrani
ni kweli kwa kanda ya kaskazini kesho ndo nane nane. trh nane watu wanarudi kwaajili ya eid
kumbe hujamsoma mwenzako ako na lengo la kuanzisha debate ya udini.
kumbe hujamsoma mwenzako ako na lengo la kuanzisha debate ya udini.
Hata kama ana lengo la kuanzisha debate ya udini, siku kuu ya Wakulima a.k.a Nane nane sio ya kidini, sasa udini unaingiaje hapo ?
he just want to say that,the government have changed nanenane day to give chance for idd.Hata kama ana lengo la kuanzisha debate ya udini, siku kuu ya Wakulima a.k.a Nane nane sio ya kidini, sasa udini unaingiaje hapo ?
Hebu tupe data maana hapa nimeshambuliwa kwa kuuliza tu
just keep cool and watch how this thread is shaping.Hata kama ana lengo la kuanzisha debate ya udini, siku kuu ya Wakulima a.k.a Nane nane sio ya kidini, sasa udini unaingiaje hapo ?
kama nilivyosema siamini kama hiyo ipo,na kama ipo kweli it is not a good idea.Wewe ndo naona unataka kuleta hizo hisia! Mie nimeuliza kupata habari