Si ndo hapo mkuu mpaka nashindwa kuelewa, yaani kuna mtu kampigia simu mkuu mmoja wa wilaya akakiri kesho sio siku ya kazi. mkanganyiko uliopo hapo 7/8 kazi kweli kweliKwahiyo itaitwa saba nane? Hakuna kitu kama hicho
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Inaweza ikawa mapumziko kama mwezi utaonekana leo,kesho inakua idd.
Habarini
Kuna tetesi kua serikali imetoa waraka kwamba sherehe ya nane nane itafanyika kesho kwa hiyo ni siku ya mapumziko, yoyote mweny kuona huu waraka atuambie basi
Shukrani
atakua hakusikia vizuri,au la hakuelewa si unajua kiwango cha elimu kilivyoshuka nchi hii.yeye anazungumzia mapumziko ya nanenane sio idd.
]eti ili isigongane na IDD[/B], ni uvumi tu nimeusikia ndo maan nikataka kuja kujua kama ni kweli au uzushi
Yaani mi mwenyewe nimeshanga ila uvumi huo upo..
hakuna aliefurahia ni kutaka kupata ukweli tu si unajua nauli isiende bureyaani watu wamechoka na kazi wanawaza kupumzika tu, pigeni kazi watoto wasome jamani, ikitokea mapumziko yasiyo ya lazima kasirika kutofanya kazi na si kufurahia kutokuja kazini
kumbe hujamsoma mwenzako ako na lengo la kuanzisha debate ya udini.Kutakuwa na tatizo gani kama ikigongana na EID ?